*Sitapiki Wala sisikii kichefu chefu,choo kigumu napata mara moja moja ila utaratibu wa choo napataga asubuh tu
*Sipati fatigue,memory loss sjui ndo kusahau huwa inatokea labda jambo nisahau ila baadae au kesho yake nakumbuka Kuna jambo flani sijafanya au ahadi flani sjaitekeleza either namdai mtu au kazi flani hivi nimesahau kufanya
*Muscle weakness Sina kwakweli
* Kiu sipati mara kwa mara,ila huwa na changamoto ya mkojo huwa nakojoa sanaa yaani Kila baada ya nusu saa hii Hali nna miaka nayo zaid ya 7 nlishaga chekiwa lakini sikupata ufumbuzi yaan hata kama sjanywa maji huwa nakojoa mkojo kiasi
*Maumivu ya tumbo upande mmoja Sina zaid nna maumivu ya tumbo ya vidonda vya tumbo ,
*Sina maumivu yakifua yoyote
NB mim ni mgonjwa thyroids hyperthyroidism kwa miaka3 Sasa Niko kwenye dawa carbimazole 2.5mg
Kwahyo umesems Hutapiki, Huna Kichefuchefu wala Huna maumivu ya Kifua..Hupati fatigue na Huna muscle weakness
Ila Umesema Unakojoa sana na Ukasema ni kila nusu saa hata bila kunywa maji ila Kiu sio kubwa sana unapata Constipation (Choo Kigumu) mara Moja moja..na Una Vidonda vya Tumbo..
Ila Umeongezea Kuwa una Historia ya Kuwa Mgonjwa wa hyperthyroidism na unatumia carbimazole 2.5mg
Sasa Baada ya Kupata Majibu yako nisikioize na Mimi Ninasema yafuatayo
Hyperthyroidism uliyoitaja Ndo inaweza kupelekea increased bone turnover, na kusababsha hypercalcemia. Kwa hiyo, kiwango kikubwa cha calcium kwenye damu kinaweza kuwa kimesababishwa na Kuongezeka kwa bone resorption kutoka kwenye mifupa kwa sababu ya thyroid hormones nyingi.
Sasa hiyo pia inaweza kusababisha Kukojoa kila Mara kama ulivyotueleza na Pia constipation za Mara kwa mara..
Kuhusu kukojoa sana hata bila kunywa maji inaweza Kuwa ni matokeo ya Hypercalcemia ambayo Calcium 2+ Ikiwa nyingi Inazuia ability ya figo kukusanya maji (nephrogenic diabetes insipidus-like effect).
Sasa Hilo tatizo Thyroid dysfunctio inaweza isichangie moja kwa moja, inawezekana metabolism kubwa ya Ca2+ inayotokea Kutokana huweza inaathiri mfumo wa Uchujaji kwenye Nephrone
Sasa Nini Mapendekezo Yangu!?
Fanya zasadi Uchunguzi wa ziada:
Fanya Serum PTH (Parathyroid hormone) ili Kujua kama hypercalcemia ni ya PTH-dependent (eg. primary hyperparathyroidism) au PTH-independent (eg. thyroid disease)...hii iyasaidia Ni Upande gani Uwepo Zaidi ambao ni safe Muhimbiki Wanafanya Hii Kitu
Fanya uchunguzi wa 24-hour urine calcium yaani kupima kiasi cha calcium kinachotolewa kwenye mkojo kwa siku nzima.
Pia sio vbaya kama Utafanya TSH, T3, T4 levels: Kufuatilia hali ya hyperthyroidism yake (labda Carbimazole dose inahitaji adjustment).
japo.Naendelea Kushauri Endelea na carbimazole, lakini thyroid function test ifuatiliwe mara kwa mara.
Kunywa maji mengi, kwa sababu hypercalcemia huongeza hatari ya dehydration na kidney stones.
uangalie pia electrolytes zingine (Na+, K+, Mg2+) – hypercalcemia inaweza kwenda sambamba na hypokalemia au hypomagnesemia
mimi Yangu Ni Hayo tu