Msaada madaktar majibu yangu Urine na blood juu renal function ktk mnh na maabala binafs metropolis

Majibu ya clinic yangu ya thyroids nimefanya tar15/05/2025 yalikua kama hivi t3 ilikua high,,hapo nibaada yakukaa takribani mwaka ziko normal hapo nikiwa natumia dose hiyo hiyo ya 2.5mg ,,sielewi hatma yangu ya hyperthyroidism kama ntapone..ultrasound nliambiwaga diffused multnodullar goiter
Habari tena malembeka18

Kwa kuwa umetumia carbimazole kwa zaidi ya mwaka na sasa vipimo vinaonyesha kuwa TSH na FT4 ni vya kawaida (lakini FT3 bado iko juu kidogo), inaonyesha kwamba hali yako inaendelea vizuri na Inaekea kutulia lakini kama Ulivyosema kuwa kipimo cha Ultrasound kinaonyesha ku R/O au Kuonyesha Ushahidi wa Bado kuna Residual overactivity ya tezi.

Ila Usikate Tamaa Maana Hyperthyroidism kwa watu wenye multinodular goiter mara nyingi huchukua muda mrefu kudhibitiwa. Kwa baadhi ya watu (Japo sio wote)

Na dawa uliyopewa Mkuu ya Carbimazole ni nzuri na Inaweza Kudhibiti kabisa hilo.tatizo

Japo Tatizo linaweza Kurudi kama Utaacha Kunywa dawa yaani Ukaona maendeleo Kidogo halafu ukaona ushapona Ukaacha Bila Kuhitimisha dozi tatixo litarudi na ndiyo maana inahitaji ufuatiliaji wa Mara kwa mara na Vipimo ndo vikuambie Uache dawa au lah

Umeuliza Dawa utatumia Kwa muda gani? Okay Mkuu haina Idadi maalumu ya Siku au Miaka ila Kwa kawaida, tiba ya awali ya carbimazole huchukua kati ya miezi 12 hadi 18, lakini kwa watu wenye goiter au nodular, (Kama Kwwli uligundulika kuna viashairi vya Tatizo) basi tiba inaweza kuendelea hadi miaka 2–3 au zaidi, kutegemeana na Response ya mwili wako Kimatibabu na vipimo vitasemaje,

Japo Ili kuitumia Dawa kwa Muda mrefu lazima Uwekwe kwenye low-dose maintenance therapy (kama hiyo ya 2.5mg)

Fuatilia mara kwa mara TSH, FT3, na FT4 kila miezi 3–6
 
Nimekuelewa vizur sana mkuu,mwezi wa 10 naenda kutimiza miaka3 kamili nkiwa kwenye dawa,pia nauliza hivo nodular huwa zinaisha au
 
Wakati mwin
Mkuu download app inaitwa 'whatsapp for AI(chat gpt)' hautahangaika tena kuuliza maswali ya hivi.

Majibu ya swali lolote unayapata kwa usahihi ndani ya sec 5.

Fanya hivyo basi, maana majibu ya humu Jf ni ya kusotea.
Wakati mwingine wanakosea kujibu.

Niliweka picha ya x-ray chatgpt na gemini

Mmoja akapatia mmoja akakosea, nahisi gemini
Niliweka hesabu, kila mtu akaja na majibu yake.

Hivyo sio za kutegemea saana, anaweza kuweka huku kuongeza maarifa.
Hapa jf tuna madkatari wazuri tu kina mambo jambo, huwa wepesi kutoa ushauri
 
Saazingine hutokana na neno moja kuwa na maana nyingi.

Unapofuatilia kitu, tengeneza maswali mengi kwa jambo lile lile.

Kwa mambo ya mahesabu sijawahi kutest.
 
Back
Top Bottom