Papushikashi
JF-Expert Member
- Feb 28, 2016
- 10,963
- 13,287
kiukweli nyumba kubwa ina utamu wakeAsante Sana kwa ushauri kiongozi.Nilikadiria tofali 3000 HIV na msingi nitatumiwa mawe.
Kuhusu kujenga nitaenda kwa phases.Kiukweli napenda nyumba yenye space ya Kutosha
Asante kiongozi kwa Muongozo
Asante kwa hamasa na ushauri mkuu.Tutawasiliana bila shaka
mwanzoni wakati naanza kujenga niliweka ramani yangu humu watu wakanitisha ila namshukuru Mungu kwa sasa nipo kwenye finishing, wewe nenda mdogo mdogo kama huna haraka sana [emoji106]