Gauge mbovu au haujawekewa mafuta aka umepigwa.Sorry Nina mark II grande Juzi Kati iliwasha taa ya mafuta na nilikuwa nakaribia eneo lenye kituo cha mafuta nikapitia nikaweka mafuta lakini cha ajabu ile geji ya mafuta ikabaki palepale chini na taa ya mafuta ikaendelea kuwaka je hapo tatizo ni nini naombeni msaada
Mwambie fundi wako akuchekie geji.Sorry Nina mark II grande Juzi Kati iliwasha taa ya mafuta na nilikuwa nakaribia eneo lenye kituo cha mafuta nikapitia nikaweka mafuta lakini cha ajabu ile geji ya mafuta ikabaki palepale chini na taa ya mafuta ikaendelea kuwaka je hapo tatizo ni nini naombeni msaada
Mwambie fundi wako akuchekie geji.Sorry Nina mark II grande Juzi Kati iliwasha taa ya mafuta na nilikuwa nakaribia eneo lenye kituo cha mafuta nikapitia nikaweka mafuta lakini cha ajabu ile geji ya mafuta ikabaki palepale chini na taa ya mafuta ikaendelea kuwaka je hapo tatizo ni nini naombeni msaada
Weka lita30 itazima mkuu hio chuma yangu miaka 8 sasa box ya speakers 2 za nchi 12 each 😎😎 ipo kwenye butiSorry Nina mark II grande Juzi Kati iliwasha taa ya mafuta na nilikuwa nakaribia eneo lenye kituo cha mafuta nikapitia nikaweka mafuta lakini cha ajabu ile geji ya mafuta ikabaki palepale chini na taa ya mafuta ikaendelea kuwaka je hapo tatizo ni nini naombeni msaada
Sawa niliweka Lita kumi na ckutembea umbali mrefu Kama nusu km hivi lakini bado taa inawakaMwambie fundi wako akuchekie geji.
1) Tatizo ni hiyo geji, huwa zina tabia ya kukwama baadhi ya muda na boya ikashindwa kuinuka.
2) Kama ulitembea kwa umbali mrefu, kisha ukaweka mafuta kidogo/machache, maana yake ulitumia mafuta ya akiba, na ulivyoweka mafuta ukajikuta umerudusha yale ya levol ya akiba uliyoyatumia.
Chukua lita 10 ktk dumu kisha weka mwenyewe uone kama tatizo litaendelea.
Chief vp matumizi yake ya wese,maana mpaka umekaa nalo 8 years ujue burudani ni kubwa sanaWeka lita30 itazima mkuu hio chuma yangu miaka 8 sasa2
Mkuu hii chombo ipo poa sana.kama sio fulltime 4WD highway 13-14km/L hapo full kipupwe ila Dar na zile foleni ni 9KM/LChief vp matumizi yake ya wese,maana mpaka umekaa nalo 8 years ujue burudani ni kubwa sana
Kwahyo kwa mikoa ambayo haina foleni sana ..chuma inaweza ikabonyeza wese la 9_11km per litre ..kwa town tripMkuu hii chombo ipo poa sana.kama sio fulltime 4WD highway 13-14km/L hapo full kipupwe ila Dar na zile foleni ni 9KM/L
Geji yake mbovu tu.
Ina injini gani kama 1Jz hio ni BREVIS au MARK-X iliyochangamka 🤣🤣🤣Yap chuma naielewa sana hii hainaga longo longo ndomana hili la taa limenistua kuwa imekuwaje tena
Kabisa mkuu na hutajutia inanesa Crown inasubiri 😎Kwahyo kwa mikoa ambayo haina foleni sana ..chuma inaweza ikabonyeza wese la 9_11km per litre ..kwa town trip
Hii ni ya kawaida 1G FE ya 2001
Kabisa mkuu na hutajutia inanesa Crown inasubiri 😎