teacher x
Member
- Oct 25, 2013
- 94
- 62
Sorry Nina mark II grande Juzi Kati iliwasha taa ya mafuta na nilikuwa nakaribia eneo lenye kituo cha mafuta nikapitia nikaweka mafuta lakini cha ajabu ile geji ya mafuta ikabaki palepale chini na taa ya mafuta ikaendelea kuwaka je hapo tatizo ni nini naombeni msaada