Msaada: Mark II Grande inawasha taa ya mafuta haizimi

teacher x

Member
Joined
Oct 25, 2013
Posts
94
Reaction score
62
Sorry Nina mark II grande Juzi Kati iliwasha taa ya mafuta na nilikuwa nakaribia eneo lenye kituo cha mafuta nikapitia nikaweka mafuta lakini cha ajabu ile geji ya mafuta ikabaki palepale chini na taa ya mafuta ikaendelea kuwaka je hapo tatizo ni nini naombeni msaada
 
Gauge mbovu au haujawekewa mafuta aka umepigwa.
 
Sorry Nina mark II grande Juzi Kati iliwasha taa ya mafuta na nilikuwa nakaribia eneo lenye kituo cha mafuta nikapitia nikaweka mafuta lakini cha ajabu ile geji ya mafuta ikabaki palepale chini na taa ya mafuta ikaendelea kuwaka je hapo tatizo ni nini naombeni msaada
Mwambie fundi wako akuchekie geji.
1) Tatizo ni hiyo geji, huwa zina tabia ya kukwama baadhi ya muda na boya ikashindwa kuinuka.
2) Kama ulitembea kwa umbali mrefu, kisha ukaweka mafuta kidogo/machache, maana yake ulitumia mafuta ya akiba, na ulivyoweka mafuta ukajikuta umerudusha yale ya levol ya akiba uliyoyatumia.
Chukua lita 10 ktk dumu kisha weka mwenyewe uone kama tatizo litaendelea.
 
Weka lita30 itazima mkuu hio chuma yangu miaka 8 sasa box ya speakers 2 za nchi 12 each 😎😎 ipo kwenye buti
 
Attachments

  • 20230202_124356.jpg
    20230202_124356.jpg
    732.3 KB · Views: 44
  • 20230204_144450.jpg
    20230204_144450.jpg
    521.2 KB · Views: 43
  • 20230204_143841.jpg
    20230204_143841.jpg
    706.6 KB · Views: 43
  • 20230204_144810.jpg
    20230204_144810.jpg
    948.6 KB · Views: 53
  • 20230528_080956.jpg
    20230528_080956.jpg
    1.1 MB · Views: 47
Mwambie fundi wako akuchekie geji.
1) Tatizo ni hiyo geji, huwa zina tabia ya kukwama baadhi ya muda na boya ikashindwa kuinuka.
2) Kama ulitembea kwa umbali mrefu, kisha ukaweka mafuta kidogo/machache, maana yake ulitumia mafuta ya akiba, na ulivyoweka mafuta ukajikuta umerudusha yale ya levol ya akiba uliyoyatumia.
Chukua lita 10 ktk dumu kisha weka mwenyewe uone kama tatizo litaendelea.
Sawa niliweka Lita kumi na ckutembea umbali mrefu Kama nusu km hivi lakini bado taa inawaka
 
Mkuu hii chombo ipo poa sana.kama sio fulltime 4WD highway 13-14km/L hapo full kipupwe ila Dar na zile foleni ni 9KM/L
Kwahyo kwa mikoa ambayo haina foleni sana ..chuma inaweza ikabonyeza wese la 9_11km per litre ..kwa town trip
 
Back
Top Bottom