Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu samahani
Naomba kujua kuhusu rav4 old model ile yenye hips
Engine yake
Ulaji Wa Mafuta
Uimara wake hasa offroad
Na recommendations zako
hahhahahahahaha kaka hata lexus is-f yenye cc5000 haili mafuta kiasi hiki hata bmw m5 v10 haili mafuta kiasi hiki.Mkubwa Mark X Kwa serikali hii ya Mjomba Magufuli utaitumia Kwa mwezi mara 5. Ni Jini Hilo 1ltr/6km na Kuna jamaa yangu kalinunua jipya no DFG Kwa m 18 mwaka jana, ila leo analitafutia mteja hata Kwa m 9. Ila za kuambiwa changanya na za kwako.
asante sana mkuu maana jamaa anafikiria na kuamini kuwa gari hiyo ipo sawa sio mbovuhahhahahahahaha kaka hata lexus is-f yenye cc5000 haili mafuta kiasi hiki hata bmw m5 v10 haili mafuta kiasi hiki.
Hilo gari ni jipu aise. Itakua hilo gari ni bovu bottom line. Natumia mark x, mafuta ya elfu 40 week yanatosha kwa kila kitu.
ipo mkuu rav 4 yenye engine ya 1ZZ FE rav 4 ina engine si chini ya 5 kwa sababu hiyo old model ina aina ya engine kama 3 hivi 3s inayotumia distributor,ipo inayotumia coil 2, ipo inayotumia kila cyrinder na coil yake ,na 3s ge engine.Rav Nilizowahi Kuziona Mimi ni za aina Mbili Moja ni yenye Engine ya 3S na ya Pili ni yenye engine ya 2AZ-FE sasa kama kuna rav 4 ina engine tofauti na hiyo naomba kuelimishwa. Rav 4 unayozungumzia wewe inawezekana ikawa ni ya 3S ambayo ni injini nzuri na ulaji wake wa Mafuta ni reasonable kwasababu Ina cc haizidi 2000 lakini pia Ulaji wa mafuta hutegemea vitu vingi Usiseme Land Cruiser inakula Mafuta kuliko Passo hapo utakuwa unakosea kwasababu Unalinganisha Vitu viwili tofauti Kabisa. Ulaji wa mafuta linganisha gari lako aina hiyohiyo na gari la mwingine aina hiyohiyo ndo utajua linakula mafuta au laah. Kama hufanyi service kwa wakati, hubadilishi baadhi ya vipuri kwa wakati, Hujazi upepo kwa kiwango stahili, Unatumia matairi yaliyoisha fahamu tu ulaji wa mafuta utaongezeka tu.
Uimara Rav 4 ni imara pia kwenye offroad.
Ushauri wangu ukiwa na uwezo wa kuinunua Inunue hautojuta
Asante mkuu kwa somo hiliipo mkuu rav 4 yenye engine ya 1ZZ FE rav 4 ina engine si chini ya 5 kwa sababu hiyo old model ina aina ya engine kama 3 hivi 3s inayotumia distributor,ipo inayotumia coil 2, ipo inayotumia kila cyrinder na coil yake ,na 3s ge engine.
ukija kwenye rav 4 new model pia kuna zenye engine ya 1az fe,1az fse hii ni d4 na kuna zenye engine ya 1zz fe
Kwa brevis sikushauri kabisaa ni bora mark xbrevis iko aje kwenye fuel consumptio?price yake?engen?
inafaa kwenye barabra za vumbi?
Rav 4 kuna za diesel pia 1Cd ftv , na 2AD Ftvipo mkuu rav 4 yenye engine ya 1ZZ FE rav 4 ina engine si chini ya 5 kwa sababu hiyo old model ina aina ya engine kama 3 hivi 3s inayotumia distributor,ipo inayotumia coil 2, ipo inayotumia kila cyrinder na coil yake ,na 3s ge engine.
ukija kwenye rav 4 new model pia kuna zenye engine ya 1az fe,1az fse hii ni d4 na kuna zenye engine ya 1zz fe
point, kama unataka gari angalia na ulazi wa mafutaMkubwa Mark X Kwa serikali hii ya Mjomba Magufuli utaitumia Kwa mwezi mara 5. Ni Jini Hilo 1ltr/6km na Kuna jamaa yangu kalinunua jipya no DFG Kwa m 18 mwaka jana, ila leo analitafutia mteja hata Kwa m 9. Ila za kuambiwa changanya na za kwako.
mkuu hapa hudanganywi unaambiwa ukweli.kama ni suala la cc kuna markx ina engine yenye cc sawa na verosa sasa sijui hapo utasema ipi inakula mafuta? na kwa taarifa yako kama atachukua verosa yenye cc sawa na mark x litakija suala la technologia iliyotumika kwenye engine mark x ni bora zaidi ya verosa ww bisha kataa ,coz mark x inatumia engine yenye mfumo wa d4 ambayp inasifa za low fuel consumption,more power,good emmision.
hiyo gari ya huyo jamaa yako wa mwenge litakuwa bovu mzee huwezi ukaw ans gari yakunywa kilomita 6 kwa lita 1 nivituko mzee
hahhahahahahaha kaka hata lexus is-f yenye cc5000 haili mafuta kiasi hiki hata bmw m5 v10 haili mafuta kiasi hiki.
Hilo gari ni jipu aise. Itakua hilo gari ni bovu bottom line. Natumia mark x, mafuta ya elfu 40 week yanatosha kwa kila kitu.
Wakuu mnaofahamu hii gari niombe muidadavue kidogo, ulaji wa mafuta, uimara wake,je inafaa kwenye barabara za vumbi,maana kuna jamaaa yangu anataka aniuzie aina hiyo ya gari. @prondo mshana jr na wengineo
point, kama unataka gari angalia na ulazi wa mafuta
Huu uzi umenigisa sana nataka nichukue kati ya hizo gari mbili..ila nikiangalia nyuma tena nina family nataka nichukue noah maana naona gari ndogo zinawabana sana watoto haki ya kutembea na wazazi.
mkuu hapo ndio wengi mnakosea kulaumu na kushauri vibaya .hilo gari la huyo rafiki yako ni bovu mzee bali sio kweli kwamba markx inakula mafuta kihivyoo.huwezi isifia verrosa kwa mark x juu ya ulaji wa mafuta engine ya mark x inakula mafuta vizuri zaidi ya engine ya verosa. mark x engine yake ni d4 .ukijua sifa na faida za engine ya d4 hapo usifananishe na engine ya verosa ambayo siyo d4