Msaada: Mark X na Verossa

Msaada: Mark X na Verossa

Huu uzi umenigisa sana nataka nichukue kati ya hizo gari mbili..ila nikiangalia nyuma tena nina family nataka nichukue noah maana naona gari ndogo zinawabana sana watoto haki ya kutembea na wazazi.
 
Mkuu samahani
Naomba kujua kuhusu rav4 old model ile yenye hips

Engine yake
Ulaji Wa Mafuta
Uimara wake hasa offroad
Na recommendations zako

Rav Nilizowahi Kuziona Mimi ni za aina Mbili Moja ni yenye Engine ya 3S na ya Pili ni yenye engine ya 2AZ-FE sasa kama kuna rav 4 ina engine tofauti na hiyo naomba kuelimishwa. Rav 4 unayozungumzia wewe inawezekana ikawa ni ya 3S ambayo ni injini nzuri na ulaji wake wa Mafuta ni reasonable kwasababu Ina cc haizidi 2000 lakini pia Ulaji wa mafuta hutegemea vitu vingi Usiseme Land Cruiser inakula Mafuta kuliko Passo hapo utakuwa unakosea kwasababu Unalinganisha Vitu viwili tofauti Kabisa. Ulaji wa mafuta linganisha gari lako aina hiyohiyo na gari la mwingine aina hiyohiyo ndo utajua linakula mafuta au laah. Kama hufanyi service kwa wakati, hubadilishi baadhi ya vipuri kwa wakati, Hujazi upepo kwa kiwango stahili, Unatumia matairi yaliyoisha fahamu tu ulaji wa mafuta utaongezeka tu.

Uimara Rav 4 ni imara pia kwenye offroad.

Ushauri wangu ukiwa na uwezo wa kuinunua Inunue hautojuta
 
Mkubwa Mark X Kwa serikali hii ya Mjomba Magufuli utaitumia Kwa mwezi mara 5. Ni Jini Hilo 1ltr/6km na Kuna jamaa yangu kalinunua jipya no DFG Kwa m 18 mwaka jana, ila leo analitafutia mteja hata Kwa m 9. Ila za kuambiwa changanya na za kwako.
hahhahahahahaha kaka hata lexus is-f yenye cc5000 haili mafuta kiasi hiki hata bmw m5 v10 haili mafuta kiasi hiki.

Hilo gari ni jipu aise. Itakua hilo gari ni bovu bottom line. Natumia mark x, mafuta ya elfu 40 week yanatosha kwa kila kitu.
 
asante sana mkuu maana jamaa anafikiria na kuamini kuwa gari hiyo ipo sawa sio mbovu
 
ipo mkuu rav 4 yenye engine ya 1ZZ FE rav 4 ina engine si chini ya 5 kwa sababu hiyo old model ina aina ya engine kama 3 hivi 3s inayotumia distributor,ipo inayotumia coil 2, ipo inayotumia kila cyrinder na coil yake ,na 3s ge engine.

ukija kwenye rav 4 new model pia kuna zenye engine ya 1az fe,1az fse hii ni d4 na kuna zenye engine ya 1zz fe
 
Asante mkuu kwa somo hili
 
Wengi wanaochangia humu hawana hata bajaji,wanaongea vitu wasivyovijua.....mtu anachangia gari hii nzuri kuliko hii wakati hana experience ya hizo gari bali ni hearsays tu.
 
mkuu inawezekana hana gari lkn anauelewa mzuri zaidi ya ww mwenye gari.kukielewa uzuri wa kitu sio lazima uwe nacho .unaweza ukawa na kitu harafu hufaham uzuri wake .hata ww hapo unaweza ukawa na gari lkn kuna mambo ukaulizwa uzuri wake ukashindwa kuufaham.

mfano baadhi ya mifumo ya kwwnye gari kama hiyo huifaham basi hiyo ndio inazitofautisha gari na kuzipa ubora zaidi ya zingine.

ni kama ambavyo simu zinatofautiana kwenye ubora wa display ,ukubwa wa memory card internal,sijui ubora wa camera megepixs, n.k
 
Kwa brevis sikushauri kabisaa ni bora mark x
Wakuu mnaofahamu hii gari niombe muidadavue kidogo, ulaji wa mafuta, uimara wake,je inafaa kwenye barabara za vumbi,maana kuna jamaaa yangu anataka aniuzie aina hiyo ya gari. @prondo mshana jr na wengineo
 
Tatizo bongo tunataka vitu viwil at once. Unataka gari ya kukusaidia usafiri wkt huo huo iwe ya mtoko.

Nunua Carmy na gari ndogo yenye hata cc 5000. Hiyo Camy ni ya weekly bussiness na hiyo ya cc 5000 ni weekend tu hutajuta ooh mafuta, uimara, coz itakua ni one/twice drive per week
 
ipo mkuu rav 4 yenye engine ya 1ZZ FE rav 4 ina engine si chini ya 5 kwa sababu hiyo old model ina aina ya engine kama 3 hivi 3s inayotumia distributor,ipo inayotumia coil 2, ipo inayotumia kila cyrinder na coil yake ,na 3s ge engine.

ukija kwenye rav 4 new model pia kuna zenye engine ya 1az fe,1az fse hii ni d4 na kuna zenye engine ya 1zz fe
Rav 4 kuna za diesel pia 1Cd ftv , na 2AD Ftv
 
Mkubwa Mark X Kwa serikali hii ya Mjomba Magufuli utaitumia Kwa mwezi mara 5. Ni Jini Hilo 1ltr/6km na Kuna jamaa yangu kalinunua jipya no DFG Kwa m 18 mwaka jana, ila leo analitafutia mteja hata Kwa m 9. Ila za kuambiwa changanya na za kwako.
point, kama unataka gari angalia na ulazi wa mafuta
 
mkuu hapa hudanganywi unaambiwa ukweli.kama ni suala la cc kuna markx ina engine yenye cc sawa na verosa sasa sijui hapo utasema ipi inakula mafuta? na kwa taarifa yako kama atachukua verosa yenye cc sawa na mark x litakija suala la technologia iliyotumika kwenye engine mark x ni bora zaidi ya verosa ww bisha kataa ,coz mark x inatumia engine yenye mfumo wa d4 ambayp inasifa za low fuel consumption,more power,good emmision.

hiyo gari ya huyo jamaa yako wa mwenge litakuwa bovu mzee huwezi ukaw ans gari yakunywa kilomita 6 kwa lita 1 nivituko mzee

Ni ubovu wa kitu gani unachangia kuongezeka kwa fuel consumption kuliko kawaida mkuu?
 
hahhahahahahaha kaka hata lexus is-f yenye cc5000 haili mafuta kiasi hiki hata bmw m5 v10 haili mafuta kiasi hiki.

Hilo gari ni jipu aise. Itakua hilo gari ni bovu bottom line. Natumia mark x, mafuta ya elfu 40 week yanatosha kwa kila kitu.

Nataka somo zaidi hapo, maana mimi nina gari ya cc 2000 bila mafuta ya elfu 80 sijamaliza wiki bado.

Mara nyingi ubovu wa nini unachangia utumiaji wa mafuta zaidi ya kawaida mkuu?
 
Wakuu mnaofahamu hii gari niombe muidadavue kidogo, ulaji wa mafuta, uimara wake,je inafaa kwenye barabara za vumbi,maana kuna jamaaa yangu anataka aniuzie aina hiyo ya gari. @prondo mshana jr na wengineo

Zipoaina mbili yaani cc2500 na cc3000 ssoo uchaguzi ni wako tuu.. ila sioni sababu ya kumiliki hii gari.. unless usiwe mtu wa rough roads....sanasana mafuta kula mafuta..
 
point, kama unataka gari angalia na ulazi wa mafuta

Mawazo ya kimaskini sana hayo! Ukitaka gari angalia pesa zako na sio mafuta. Sasa c wangetengeneza yanayotumia chips badala ya mafuta?

Ni ujinga class 1 kuweka mafuta tu ndio kigezo cha kumiliki gari
 
Huu uzi umenigisa sana nataka nichukue kati ya hizo gari mbili..ila nikiangalia nyuma tena nina family nataka nichukue noah maana naona gari ndogo zinawabana sana watoto haki ya kutembea na wazazi.

Chukua yako (mark x) na ya familia hata toureg, hii ya fmly ni weekends tu ila mark x inakua kama nguo, kila siku unayo road
 
mkuu hapo ndio wengi mnakosea kulaumu na kushauri vibaya .hilo gari la huyo rafiki yako ni bovu mzee bali sio kweli kwamba markx inakula mafuta kihivyoo.huwezi isifia verrosa kwa mark x juu ya ulaji wa mafuta engine ya mark x inakula mafuta vizuri zaidi ya engine ya verosa. mark x engine yake ni d4 .ukijua sifa na faida za engine ya d4 hapo usifananishe na engine ya verosa ambayo siyo d4

Mark x inakuja na engine moja kwani?? Kwann umesema engine yake...na wakati lile ni body linakuja na engine kadhaa

3GR FE ni d4??
 
Back
Top Bottom