Msaada: Miaka hii 43 nampataje mwenza ambaye hana mtoto

Msaada: Miaka hii 43 nampataje mwenza ambaye hana mtoto

Nimepigwa mno na single mothers ambao niliamini baada ya 'kupigika' tungeyajenga vizuri sana kwa maana wameshayajua maisha, lakini wapi!

Wa kwanza kanipiga, visa havieleweki tu kila siku. Mwishowe tukaamua yaishe.

Wa pili kanipiga, mtoto akikohoa kidogo tu zinaanza safari za 'kwenda kumtibu'. Nikaona nachotaka kufia hapa ni nini?

Huyu wa tatu ndio jana kaniuliza kabisa, huku mdomo akiwa kaupeleka pembeni (ishara ya dharau), "Hivi wewe kwa akili zako unafikiri kabisa nitamsahau niliyezaa nae? Mfyuuuu!"

Nimeondoka nyumbani mpaka sasa sijarudi.

Wadau, wapi anapatikana asiyekuwa na mtoto katika umri huo nijiandae kula nae kikokotoo?

Nimekwama, tusaidiane.
Tafuta MWANAMKE au MWANAUME wa nyumbani kwenu uoe au uolewe! Ikibidi omba msaada kwa ndugu zako wa karibu wakutafutie MKE au MUME. Huo sio udhaifu, bali unaonesha UKOMAVU..🙌🏼😂
 
Nenda bush huko tafuta binti.....uje nae town tena unaenda mburu huko.....unakuja unakula weeeeeeeee akijanjaruka .......unamwacha unatimba tena bush kubeba mwingine...

Yaani unakua kama gari la mkaa wakizengua tu wewe unaenda bush tena
[emoji38][emoji38][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ila watu. Kwamba kama gari la mkaa
 
Masingo maza ni watu waliovurugwa akili.
Waongo waongo tuu.
Wanawachukia walioachana nao watakupenda vipi ww. Maana sijawahi sikia wakiwazungumzia vizuri.
Utapewa mgegedo mara kibaoo lakini sio upendo, huo anampa mtoto wake.
 
Nimepigwa mno na single mothers ambao niliamini baada ya 'kupigika' tungeyajenga vizuri sana kwa maana wameshayajua maisha, lakini wapi!

Wa kwanza kanipiga, visa havieleweki tu kila siku. Mwishowe tukaamua yaishe.

Wa pili kanipiga, mtoto akikohoa kidogo tu zinaanza safari za 'kwenda kumtibu'. Nikaona nachotaka kufia hapa ni nini?

Huyu wa tatu ndio jana kaniuliza kabisa, huku mdomo akiwa kaupeleka pembeni (ishara ya dharau), "Hivi wewe kwa akili zako unafikiri kabisa nitamsahau niliyezaa nae? Mfyuuuu!"

Nimeondoka nyumbani mpaka sasa sijarudi.

Wadau, wapi anapatikana asiyekuwa na mtoto katika umri huo nijiandae kula nae kikokotoo?

Nimekwama, tusaidiane.
Hii game ngumu asikwambie mtu.
 
Wanatatikana kibao sana brother. Kikubwa ujipe muda wa kuchagua, usikurupuke!
 
maisha yanaanza miaka 40 wewe bado mdogo tafuta wa miaka 28-35 wamejaaa , ukishindwa niambie nikuunganishie ila utalipa commission.
 
Haina noma

Nakupa ushauri wa kijinga na wa kitoto pia...ukiamua kukataa ndoa kataa ndoa hadi kifo kikutenganishe ili kupunguza stress ukifika 40+ kama mleta mada(na wewe kama ni mmoja wao)
Umetumia silaha kubwa mno🤣
 
Back
Top Bottom