Msaada: Miaka hii 43 nampataje mwenza ambaye hana mtoto

Msaada: Miaka hii 43 nampataje mwenza ambaye hana mtoto

Nenda bush huko tafuta binti.....uje nae town tena unaenda mburu huko.....unakuja unakula weeeeeeeee akijanjaruka .......unamwacha unatimba tena bush kubeba mwingine...

Yaani unakua kama gari la mkaa wakizengua tu wewe unaenda bush tena
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]jf
 
Hivi nyie mnaokazana eti umri wake umeenda,acheni hizo bhana,miaka 43 mbona ni mkaka wa kawaida kabisa
Kweli wapinga Kristo hamtakaa muishe
Mwenzetu kaomba ushauri,badala mumpe majibu sahihi mmekazana alikuwa wapi?
Ukute hata nyie baba zenu wamewazaa wakiwa na miaka 60
Achani kuwa chanzo cha kumkatisha mwenzenu tamaa
 
Mwenye mtoto achana nae, jiulize tu ni kwa nini aliachana na aliyezaa nae! Ila utahangaika, ukimpata nwenye umri ambae hana mtoto labda awe bikira. Kama sio bikira kuna siku atamtafuta aliyeondoa usichana wake.
 
Mjomba wangu ana kama 60 hivi ila mtoto wake wa kwanza form one mwaka huu.
 
Back
Top Bottom