Gobole Lenye Risasi
JF-Expert Member
- Oct 31, 2014
- 11,519
- 23,693
Naona kama sasa hatuna tena mvuto wala hoja. Maana kitendo cha Mnyika kutoenda kusign makubaliano na sisi sasa maana yake hatutagombea Ubunge wala Udiwani. Hii imekaaje?
Maana naona waliokuwa wanatushauri kwa sasa tukiwapigia simu wanakuwa busy nadhani na maandalizi. Na tulikuwa tunaambiwa tutazunguka nchi nzima kusema tutashiriki. Sasa baada ya kuwa hatuja sign itakuaje?
Je kuna namna tutashiriki kinyemela au itakuaje?maana sasa kwa kweli tumechoka sana. hawa washawishi wetu hata hawatupi mwendelezo nini kinaendelea. Wametuacha Solemba.
Tunaombeni msaada wa kisheria je haiatawezekana kabisa sisi kushiriki kuchaguliwa?tulishagawana majimbo kugombea kupitia Chadema. Tusiposhiriki Chama kitakufa. Na tukishiriki si mbaya wanakufa wanachama. So tushiriki tu Chadema kina wanachama wengi hawataweza waua wote.