Lazima chama kishiriki uchaguziNyie badala ya kuungana na wenzenu katika mapambano ya kudai mifumo kandamizi ..mkawa machawa kwa kupenda madaraka ya ubunge ahahahahah sasa nendeni huko ccm .
mbowe kaleta dhahama hii yote, mzee mtei kakianzisha chama kwa taabu akikijenga kwa kijinyima, kamwachia bhageshi wake makani, makani kamwachia mkwilima, mkwilima kawaachia chama washenzi, siangemrithisha hata mwanae,Basi anzisheni Chama lenu ili ikifika 2030 mnafanya maamuzi yenu wenyewe.
Ungetakiwa uwe umeolewa labda na mtu mtoto mmoja wa Mbowe then uachiwe chama wewe tuseme safari hii mwenyekiti awe mwanamke. Hapo maisha yetu yangeenda vizuri.mbowe kaleta dhahama hii yote, mzee mtei kakianzisha chama kwa taabu akikijenga kwa kijinyima, kamwachia bhageshi wake makani, makani kamwachia mkwilima, mkwilima kawaachia chama washenzi, siangemrithisha hata mwanae,
Lengo kuu la kuanzisha vyama siyo kupata ruzuku. Vyanzo vya mapato vinatakiwa viwe kutoka kwenye michango ya wanachama. Je, wakishiriki na wakafanya kama ilivyokuwa kwenye serikali za mitaa mwaka jana na wakakosa wabunge ni nini kintatokea? Samia na watu wake walicheza ngoma vibaya sana. Hu uchaguzi wa serikali za mitaa uliopita wangeacha wapiga kura waamue au hata kuiba wafanye hivyo kwa akili. Hili lingekuwa limeingiza CHADEMA kingi waone kuwa mambo yamebadilika na huu uchaguzi wangeshiriki, tena chini ya mwenyekiti Mbowe.Sasa unadhani bila ruzuku chama kitaendaje mbele? Ubunge tunataka sana hivi vyama vingine havina watu
ACT wanakula kwa kujuana. Shida Lissu yeye hili suala la No Reform No Election amelichukulia serious. Mbowe hakuwa na maana hii ya kutaka liwe serious sana.We saw it coming.
SInce kampeni zilivyoanza za uchaguzi wa ndani,tulisema TAL anaenda kuiua CDM.
Tokeni nendeni ACT mkagombee ,achaneni na CDM maana hakitofanya siasa mpaka 2030.
Daaaaah.....Anzisheni chama Cha mawinga, wapiga Dili.
HIi imeenda kenge weweNaona kama sasa hatuna tena mvuto wala hoja. Maana kitendo cha Mnyika kutoenda kusign makubaliano na sisi sasa maana yake hatutagombea Ubunge wala Udiwani. Hii imekaaje?
Maana naona waliokuwa wanatushauri kwa sasa tukiwapigia simu wanakuwa busy nadhani na maandalizi. Na tulikuwa tunaambiwa tutazunguka nchi nzima kusema tutashiriki. Sasa baada ya kuwa hatuja sign itakuaje?
Je kuna namna tutashiriki kinyemela au itakuaje?maana sasa kwa kweli tumechoka sana. hawa washawishi wetu hata hawatupi mwendelezo nini kinaendelea. Wametuacha Solemba.
Tunaombeni msaada wa kisheria je haiatawezekana kabisa sisi kushiriki kuchaguliwa?tulishagawana majimbo kugombea kupitia Chadema. Tusiposhiriki Chama kitakufa. Na tukishiriki si mbaya wanakufa wanachama. So tushiriki tu Chadema kina wanachama wengi hawataweza waua wote.
Ndiyo hivo hakiwezi tena kushirikiLazima chama kishiriki uchaguzi
Bora kife kuliko kuwa na watu wapiga dili kwenye chamaWe saw it coming.
SInce kampeni zilivyoanza za uchaguzi wa ndani,tulisema TAL anaenda kuiua CDM.
Tokeni nendeni ACT mkagombee ,achaneni na CDM maana hakitofanya siasa mpaka 2030.
Ndiyo hivo kichaa amepewa rungu sasa amefanya kweli amewapiga rungu woteeeACT wanakula kwa kujuana. Shida Lissu yeye hili suala la No Reform No Election amelichukulia serious. Mbowe hakuwa na maana hii ya kutaka liwe serious sana.
Anataka safisha chama wakati sisi tuliridhika na kilivyokuwa kikubwa tunapata ruzuku na pia pesa tukiitisha mikwala kama hii. Hapa tungekuwa na Mbowe tungepiga pesa nzuri tuNdiyo hivo kichaa amepewa rungu sasa amefanya kweli amewapiga rungu woteee
Tumekosa wotee hamieni vyama vingine vipo vingi tuu
Mim nadhani suluisho ni kuhama chama kama unaona chama akifanyi yale unayo yataka. Au ikibidi unaanzisha chama chako kuliko kulalamika lalamika. Hama au anzisha chakombowe kaleta dhahama hii yote, mzee mtei kakianzisha chama kwa taabu akikijenga kwa kijinyima, kamwachia bhageshi wake makani, makani kamwachia mkwilima, mkwilima kawaachia chama washenzi, siangemrithisha hata mwanae,
Chadema ina wanachama wetuMim nadhani suluisho ni kuhama chama kama unaona chama akifanyi yale unayo yataka. Au ikibidi unaanzisha chama chako kuliko kulalamika lalamika. Hama au anzisha chako
Wachukueni hao wanachama muhame nao au mkaanzishe chama chenuChadema ina wanachama wetu