Gobole Lenye Risasi
JF-Expert Member
- Oct 31, 2014
- 11,519
- 23,693
- Thread starter
- #61
Wamemwaga hawa mbwa halafu wameusigina kabisa haufai. Wametuharibia sana hatuna tena tumaini katika siasa.
Wamemwaga hawa mbwa halafu wameusigina kabisa haufai. Wametuharibia sana hatuna tena tumaini katika siasa.
Yagangwe yajayo...Wamemwaga hawa mbwa halafu wameusigina kabisa haufai. Wametuharibia sana hatuna tena tumaini katika siasa.
Ila kususa uchaguzi ndo mnaweza? Hasira za kupata madaraka ili muibe kodi za wananchi kama yalivyo majizi ya Ccm yanavyoibaChama kukiua ni ngumu kuna watu kila siku wanakianzishia uzi au kukitaja. Hapo ndo huwa naona kinagoma kufa. Chama kilichokufa hakitajwi kabisa.
Tutaishije?Yagangwe yajayo...
Kuna bado bado za mama Samia, anzia hapo...Tutaishije?
Hayo yapo kabla au ni kuikomoa CDM kwa kudai no reform no election?We saw it coming.
SInce kampeni zilivyoanza za uchaguzi wa ndani,tulisema TAL anaenda kuiua CDM.
Tokeni nendeni ACT mkagombee ,achaneni na CDM maana hakitofanya siasa mpaka 2030.
Mungu yupi?au wa kihindi?ng'ombeMungu amesikia kilio chenu,atafanya kitu
P
mkuu pascal hivi ni kweli hizo kanuni za maadili zilizosaniwa zinawezaje kuwa juu ya katiba ya nchi ambayo imetoa haki ya vyama vya siasa kushiriki uchaguzi pia haki ya kuchagua na kuchaguliwa.. iweje mkurugenzi wa tume atangazie umma eti kwa kutosaini kanuni za maadili eti CHADEMA eti hawatokuwa na haki yoyote kushiriki uchaguzi kwani hizo kanuni ni za kikatiba au.? je,hiyo sheria ya kanuni imetaja muda maalum wa kusaini kwamba lazima iwe tareh na mwezi fulani maana tulimsikia mkurugenzi wa tume akidai ni lazima vyama kusaini kanuni hizo kabla ya uteuzi kufanyika..sasa mie najiuliza muda wa uteuzi kwa vyama vingi kuteua wagombea bado ni mpaka mwezi wa 7 au 8 huko kisha tume ndio itaidhinisha hao wagombea..ikiwa sheria imetaja kabla ya uteuzi kwenye vyama au tume kufanyika kanuni ziwe zimesainiwa inamaana hio sheria haijaweka limit ya muda hivyo vyama vinaweza saini kanuni mda wowote hata iwe mwezi june au july maadam hawajafanya uteuzi bado..sasa huyu mkurugenzi wa tume kutangaza eti Chadema hawana sifa kushiriki uchaguzi ambao bado wako ndani ya muda kwa mujibu wa hio sheria ya 2024..yaani mkuregenzi anataka kanuni zake ziwe juu ya katiba kanuni ambazo zinaweza kupingwa mahakamani wakati sheria hiyo inataka iwe ni kabla ya uteuzi kufanyika why walazimishe vyama kusaini sasa haraka ya nini.? au huu ndio ule muendelezo wa serikali kuchomeka ubatili kwenye katiba yetu kwa maslahi ya chama chao.!Mungu amesikia kilio chenu,atafanya kitu
P
KADI YAKE IMEINGIA KUTU KWENYE KOMEO LA CHUMA , HAISOMEKI 😛Weka hapa ushahidi wa jina lako na kadi yako vinginevuo usitupotezee muda.
Endelea kuota.CCm wanademka ila hawataenda kwenye uchaguzi bila chadema.Watabanwa mpaka waitishe mazungumzo na chadema na watakubali kurekebisha kasoro na uovu wao ili chadema ishiriki uchaguzi.
Hamshiriki uchaguzi mmekuwa chama Cha siasa au NGOS.Mwanasiasa Gani unaogopa kufa huyo atakuwa tapeli la kisiasa.Mwanasiasa mzalendo haogopi kifoBora tushiriki uchaguzi wauliwe wanachama na wagombea chama kibaki kipate ruzuku.
Wewe fisiem chawa ya Chadema hayakuhusu nyumbu weweAkili kubwa ni G55 mliobaki wote mmedhamilia kuuwa chama.Mnatakiwa mtimuliwe
Kuleni mavi yenuTutaishije?
Kabisa wanaogopaje watu wao kuuliwa na serikali? Kwani wataisha?Hamshiriki uchaguzi mmekuwa chama Cha siasa au NGOS.Mwanasiasa Gani unaogopa kufa huyo atakuwa tapeli la kisiasa.Mwanasiasa mzalendo haogopi kifo
Naona kama sasa hatuna tena mvuto wala hoja. Maana kitendo cha Mnyika kutoenda kusign makubaliano na sisi sasa maana yake hatutagombea Ubunge wala Udiwani. Hii imekaaje?
Maana naona waliokuwa wanatushauri kwa sasa tukiwapigia simu wanakuwa busy nadhani na maandalizi. Na tulikuwa tunaambiwa tutazunguka nchi nzima kusema tutashiriki. Sasa baada ya kuwa hatuja sign itakuaje?
Je kuna namna tutashiriki kinyemela au itakuaje?maana sasa kwa kweli tumechoka sana. hawa washawishi wetu hata hawatupi mwendelezo nini kinaendelea. Wametuacha Solemba.
Tunaombeni msaada wa kisheria je haiatawezekana kabisa sisi kushiriki kuchaguliwa?tulishagawana majimbo kugombea kupitia Chadema. Tusiposhiriki Chama kitakufa. Na tukishiriki si mbaya wanakufa wanachama. So tushiriki tu Chadema kina wanachama wengi hawataweza waua wote.
Mkapateni mapokezi gereji kama covid _19 na mgawiwe majimbo kama nyie ni wathamani kwao kwa kiwango hicho.Naona kama sasa hatuna tena mvuto wala hoja. Maana kitendo cha Mnyika kutoenda kusign makubaliano na sisi sasa maana yake hatutagombea Ubunge wala Udiwani. Hii imekaaje?
Maana naona waliokuwa wanatushauri kwa sasa tukiwapigia simu wanakuwa busy nadhani na maandalizi. Na tulikuwa tunaambiwa tutazunguka nchi nzima kusema tutashiriki. Sasa baada ya kuwa hatuja sign itakuaje?
Je kuna namna tutashiriki kinyemela au itakuaje?maana sasa kwa kweli tumechoka sana. hawa washawishi wetu hata hawatupi mwendelezo nini kinaendelea. Wametuacha Solemba.
Tunaombeni msaada wa kisheria je haiatawezekana kabisa sisi kushiriki kuchaguliwa?tulishagawana majimbo kugombea kupitia Chadema. Tusiposhiriki Chama kitakufa. Na tukishiriki si mbaya wanakufa wanachama. So tushiriki tu Chadema kina wanachama wengi hawataweza waua wote.
Hawawezi kutupa hawa...Ndo muda wenu wa kuhamia chama cha kijani mkapewe majimbo ya kina Majaliwa na Ndugai.
Basi mlipaswa kusimama na LiisuHawawezi kutupa hawa...