Msaada: Mimi ni mmoja ya G55 sasa baada ya hapa tunafanyaje ndugu zanguni? Maana ni kama hesabu zimeenda hovyo

Msaada: Mimi ni mmoja ya G55 sasa baada ya hapa tunafanyaje ndugu zanguni? Maana ni kama hesabu zimeenda hovyo

Naona kama sasa hatuna tena mvuto wala hoja. Maana kitendo cha Mnyika kutoenda kusign makubaliano na sisi sasa maana yake hatutagombea Ubunge wala Udiwani. Hii imekaaje?

Maana naona waliokuwa wanatushauri kwa sasa tukiwapigia simu wanakuwa busy nadhani na maandalizi. Na tulikuwa tunaambiwa tutazunguka nchi nzima kusema tutashiriki. Sasa baada ya kuwa hatuja sign itakuaje?

Je kuna namna tutashiriki kinyemela au itakuaje?maana sasa kwa kweli tumechoka sana. hawa washawishi wetu hata hawatupi mwendelezo nini kinaendelea. Wametuacha Solemba.

Tunaombeni msaada wa kisheria je haiatawezekana kabisa sisi kushiriki kuchaguliwa?tulishagawana majimbo kugombea kupitia Chadema. Tusiposhiriki Chama kitakufa. Na tukishiriki si mbaya wanakufa wanachama. So tushiriki tu Chadema kina wanachama wengi hawataweza waua wote.
Kule zanzibar wanasema" Umejitia Jiti Jichoni"

😅😅😅
 
Mbona mmeshaelewana mnahamia kwa msaliti mwenzenu Zitto?

20250413_105034.jpg
20250413_105017.jpg
 
Kule kwingine hakuna issue ndugu yangu hawana watu so hatutakuwa na maana kwa serikali.na kule hakuna tishio lolote.
Mara utakapoenda wewe unaejiona una issue Nako kutakuwa na issue! Ukienda wewe unayejiona wa maana nako kutakuwa kwa maana! Ukienda wewe uliyetishio, mara nako kutakuwa TISHIO!! Nenda ndugu!
 
mbowe kaleta dhahama hii yote, mzee mtei kakianzisha chama kwa taabu akikijenga kwa kijinyima, kamwachia bhageshi wake makani, makani kamwachia mkwilima, mkwilima kawaachia chama washenzi, siangemrithisha hata mwanae,

Acha matusi. Unaita wengine washenzi kisa hukubaliani nao?. Halafu Mbowe hajamwachia mtu chama alipigwa Chini kwenye uchaguzi.
 
Act denda linawatoka huko nendeni fasta,wote mtagombea ubunge.
 
Akil yako ni ndogo sn , mtu anaewaza pafupi haez mwelewa TAL
We saw it coming.

SInce kampeni zilivyoanza za uchaguzi wa ndani,tulisema TAL anaenda kuiua CDM.

Tokeni nendeni ACT mkagombee ,achaneni na CDM maana hakitofanya siasa mpaka 2030.
 
Hapana Lissu hana pesa ndugu yangu nasi maisha inabidi yaende mbele tutakula nini?
Lakini yeye si mdo anagawa majimbo, Mngemuunga mkono kampeni yake ingefanikiwa ila utengano wenu umewafanya CCM wawaone dhaifu na imekua rahisi kuwaangusha.
 
Mungu amesikia kilio chenu,atafanya kitu
P
Kama ulivyoelekezwa na ukanda kwenye press ya lsu ya kutangaza no reforms no election na majibu yako toka jf?
Jamaa mnafiki sana wewe. Haya lisu amekamatwa furahi sasa
 
Nendeni ACT wazalendo,Chadema safari hii wamekuwa na msimamo mkali sana na naona kwenye mitandao wana supporters wengi sana kwa kutoenda kusaini
 
Walitaka kumwaga Ugali Mnyika amemwaga mboga!
Nadhani mbinu itakayofanywa ni kama ile iliyotumika kuwaingiza covid 19 mjengoni.
Chadema itashiriki Uchaguzi!
 
Naona kama sasa hatuna tena mvuto wala hoja. Maana kitendo cha Mnyika kutoenda kusign makubaliano na sisi sasa maana yake hatutagombea Ubunge wala Udiwani. Hii imekaaje?

Maana naona waliokuwa wanatushauri kwa sasa tukiwapigia simu wanakuwa busy nadhani na maandalizi. Na tulikuwa tunaambiwa tutazunguka nchi nzima kusema tutashiriki. Sasa baada ya kuwa hatuja sign itakuaje?

Je kuna namna tutashiriki kinyemela au itakuaje?maana sasa kwa kweli tumechoka sana. hawa washawishi wetu hata hawatupi mwendelezo nini kinaendelea. Wametuacha Solemba.

Tunaombeni msaada wa kisheria je haiatawezekana kabisa sisi kushiriki kuchaguliwa?tulishagawana majimbo kugombea kupitia Chadema. Tusiposhiriki Chama kitakufa. Na tukishiriki si mbaya wanakufa wanachama. So tushiriki tu Chadema kina wanachama wengi hawataweza waua wote.

Unganeni na waliowashawishi.
 
Hujazaliwa na Chama hamia ACT Wazalendo au CUF
 
Back
Top Bottom