Mtakula mavi yenuHapana Lissu hana pesa ndugu yangu nasi maisha inabidi yaende mbele tutakula nini?
Kumbe wewe si Chadema ? Mbona umejianika mchana kweupe au jua ni kali😝😝😝Kabisa wanaogopaje watu wao kuuliwa na serikali? Kwani wataisha?
Mmeitwa ACT nendeni maana CHADEMA imewakaanga kisawasawa!Naona kama sasa hatuna tena mvuto wala hoja. Maana kitendo cha Mnyika kutoenda kusign makubaliano na sisi sasa maana yake hatutagombea Ubunge wala Udiwani. Hii imekaaje?
Maana naona waliokuwa wanatushauri kwa sasa tukiwapigia simu wanakuwa busy nadhani na maandalizi. Na tulikuwa tunaambiwa tutazunguka nchi nzima kusema tutashiriki. Sasa baada ya kuwa hatuja sign itakuaje?
Je kuna namna tutashiriki kinyemela au itakuaje?maana sasa kwa kweli tumechoka sana. hawa washawishi wetu hata hawatupi mwendelezo nini kinaendelea. Wametuacha Solemba.
Tunaombeni msaada wa kisheria je haiatawezekana kabisa sisi kushiriki kuchaguliwa?tulishagawana majimbo kugombea kupitia Chadema. Tusiposhiriki Chama kitakufa. Na tukishiriki si mbaya wanakufa wanachama. So tushiriki tu Chadema kina wanachama wengi hawataweza waua wote.
Kama hawana pa kwenda waende CCMShida wote walio kwenye group hilo hawana mvuto yani wamevundaa hakuna hata wa afadhali ss watahamia wpai?
Chadema ina watu wake wanaoeleweka bwana
kwahiyo nafasi itabadi wazi hadi 2030Mkuu, Eddy una niangusha! Chama kina Makamu Wenyeviti wawili, hivyo jahazi linasonga mbele.
Aaah Mkuu, mbona anatoka tu kabla ya April haija tuaga.kwahiyo nafasi itabadi wazi hadi 2030
bora aje tu tukomae nae,Aaah Mkuu, mbona anatoka tu kabla ya April haija tuaga.
Mkuu umejibu kama Professor😂😂😂Ni muda rasmi wa nyie kuhamia vyama vingine 18.
Nyinyi ni wanafki na wasaliti wa watanzania wanaopigania haki nchini. Mmeshajulikana na kwasababu mnataka kuyashibisha matumbo yenu, amieni vyama hivyo 18 vitakavyoshiriki waacheni wale wenye kupigania haki ya mtanzania kuthaminika kura yake katika chaguzi kuu na kumchagua kiongozi ampendaye. Mpo tayari wapinzani wafe ili mpite, sasa alichokifanya Mnyika kimekuwa msumari kwenu na mmeishiwa maneno. Nendeni mkajiorganize upya na aliyekuwa akiwapa tonge muda wote wa uongozi wake miaka 20 either muanzishe chama chenu au muhamie ACT Mzalendo au NCCRNaona kama sasa hatuna tena mvuto wala hoja. Maana kitendo cha Mnyika kutoenda kusign makubaliano na sisi sasa maana yake hatutagombea Ubunge wala Udiwani. Hii imekaaje?
Maana naona waliokuwa wanatushauri kwa sasa tukiwapigia simu wanakuwa busy nadhani na maandalizi. Na tulikuwa tunaambiwa tutazunguka nchi nzima kusema tutashiriki. Sasa baada ya kuwa hatuja sign itakuaje?
Je kuna namna tutashiriki kinyemela au itakuaje?maana sasa kwa kweli tumechoka sana. hawa washawishi wetu hata hawatupi mwendelezo nini kinaendelea. Wametuacha Solemba.
Tunaombeni msaada wa kisheria je haiatawezekana kabisa sisi kushiriki kuchaguliwa?tulishagawana majimbo kugombea kupitia Chadema. Tusiposhiriki Chama kitakufa. Na tukishiriki si mbaya wanakufa wanachama. So tushiriki tu Chadema kina wanachama wengi hawataweza waua wote.
Nyie mlimwaga mboga kwa kutumiwa na CCM kupambana na uongozi sasa tumemwaga ugali na jiko tumelivunja kabisa.Naona kama sasa hatuna tena mvuto wala hoja. Maana kitendo cha Mnyika kutoenda kusign makubaliano na sisi sasa maana yake hatutagombea Ubunge wala Udiwani. Hii imekaaje?
Maana naona waliokuwa wanatushauri kwa sasa tukiwapigia simu wanakuwa busy nadhani na maandalizi. Na tulikuwa tunaambiwa tutazunguka nchi nzima kusema tutashiriki. Sasa baada ya kuwa hatuja sign itakuaje?
Je kuna namna tutashiriki kinyemela au itakuaje?maana sasa kwa kweli tumechoka sana. hawa washawishi wetu hata hawatupi mwendelezo nini kinaendelea. Wametuacha Solemba.
Tunaombeni msaada wa kisheria je haiatawezekana kabisa sisi kushiriki kuchaguliwa?tulishagawana majimbo kugombea kupitia Chadema. Tusiposhiriki Chama kitakufa. Na tukishiriki si mbaya wanakufa wanachama. So tushiriki tu Chadema kina wanachama wengi hawataweza waua wote.
we, mie nakengeleUngetakiwa uwe umeolewa labda na mtu mtoto mmoja wa Mbowe then uachiwe chama wewe tuseme safari hii mwenyekiti awe mwanamke. Hapo maisha yetu yangeenda vizuri.
Haya maisha tu unataka sisi tuishi vipi? Mmwendoa Mbowe angalau alikuwa anatucheck maisha yanaenda mnaleta zenu za kuleta watu tufe njaa? Kipindi hiki cha uchaguzi ndo wakati wa kuzichanga nyie mnaleta mapepe.Nyinyi ni wanafki na wasaliti wa watanzania wanaopigania haki nchini. Mmeshajulikana na kwasababu mnataka kuyashibisha matumbo yenu, amieni vyama hivyo 18 vitakavyoshiriki waacheni wale wenye kupigania haki ya mtanzania kuthaminika kura yake katika chaguzi kuu na kumchagua kiongozi ampendaye. Mpo tayari wapinzani wafe ili mpite, sasa alichokifanya Mnyika kimekuwa msumari kwenu na mmeishiwa maneno. Nendeni mkajiorganize upya na aliyekuwa akiwapa tonge muda wote wa uongozi wake miaka 20 either muanzishe chama chenu au muhamie ACT Mzalendo au NCCR
Haya maisha tu unataka sisi tuishi vipi? Mmwendoa Mbowe angalau alikuwa anatucheck maisha yanaenda mnaleta zenu za kuleta watu tufe njaa? Kipindi hiki cha uchaguzi ndo wakati wa kuzichanga nyie mnaleta mapepe.Nyie mlimwaga mboga kwa kutumiwa na CCM kupambana na uongozi sasa tumemwaga ugali na jiko tumelivunja kabisa.
Imekula kwenu nendeni Chauma mkaufinye ubwabwa 😄😄😄Haya maisha tu unataka sisi tuishi vipi? Mmwendoa Mbowe angalau alikuwa anatucheck maisha yanaenda mnaleta zenu za kuleta watu tufe njaa? Kipindi hiki cha uchaguzi ndo wakati wa kuzichanga nyie mnaleta mapepe.
Mkuu umejibu kama Professor😂😂😂
Kule hamna kitu tutakuja pata zaidi ya kula Ubwabwa mara 3 kwa sikuImekula kwenu nendeni Chauma mkaufinye ubwabwa 😄😄😄
Mimi nahusikaje na hao g55? Au na wewe ni Bashite uliyechangamka?Huo ndio ujanja mzuri kwa nyie 55
Ni vile tu utakavyojiweka! Ukijiweka weka ilimradi ni kweli hautakuwa na deal kwao! Ukijiweka kiakili watakuheshimu tu! Mfano mzuri ni Mkuu wetu wa mkoa Dar es Salaam, Mh Albert Chalamila baada ya kufurushwa huko Tabora hakujiweka kihasarahasara!! Wlimuita!!!CCM hawawezi kutuona tuna deal tukiwa huko. Watatudharau tu na kututupa hawa jamaa.
Mkuu mbona unajikana sasa?Mimi nahusikaje na hao g55? Au na wewe ni Bashite uliyechangamka?