Msaada: Mimi ni mmoja ya G55 sasa baada ya hapa tunafanyaje ndugu zanguni? Maana ni kama hesabu zimeenda hovyo

Msaada: Mimi ni mmoja ya G55 sasa baada ya hapa tunafanyaje ndugu zanguni? Maana ni kama hesabu zimeenda hovyo

Ni muda rasmi wa nyie kuhamia vyama vingine 18.
Hakuna chama ambacho hakina wagombea eti wanasubiri wa chadema waje wapewe majimbo ya kugombea. Chadema wapambane na hali yao, wampindue Lissu waanzishe uongozi unaokubalianana taratibu za uchaguzi.
 
Mara utakapoenda wewe unaejiona una issue Nako kutakuwa na issue! Ukienda wewe unayejiona wa maana nako kutakuwa kwa maana! Ukienda wewe uliyetishio, mara nako kutakuwa TISHIO!! Nenda ndugu!
CCM hawawezi kutuona tuna deal tukiwa huko. Watatudharau tu na kututupa hawa jamaa.
 
Maana mngekua na akili mngesimama na viongozi wenu kuliko kuamua kujitenga sasa ndio hivyo Tume imesema chama chenu hakiruhusiwi kushiriki uchaguzi kama nawaona vile
 
Naona kama sasa hatuna tena mvuto wala hoja. Maana kitendo cha Mnyika kutoenda kusign makubaliano na sisi sasa maana yake hatutagombea Ubunge wala Udiwani. Hii imekaaje?

Maana naona waliokuwa wanatushauri kwa sasa tukiwapigia simu wanakuwa busy nadhani na maandalizi. Na tulikuwa tunaambiwa tutazunguka nchi nzima kusema tutashiriki. Sasa baada ya kuwa hatuja sign itakuaje?

Je kuna namna tutashiriki kinyemela au itakuaje?maana sasa kwa kweli tumechoka sana. hawa washawishi wetu hata hawatupi mwendelezo nini kinaendelea. Wametuacha Solemba.

Tunaombeni msaada wa kisheria je haiatawezekana kabisa sisi kushiriki kuchaguliwa?tulishagawana majimbo kugombea kupitia Chadema. Tusiposhiriki Chama kitakufa. Na tukishiriki si mbaya wanakufa wanachama. So tushiriki tu Chadema kina wanachama wengi hawataweza waua wote.
Bado mnao mlango wa kupitia...

Jiungeni na CCM mkagombee ubunge, u-Rais na udiwani mtashinda..

Sisi tunaendelea mbele hadi kuufikia ushindi na NO REFORMS, NO ELECTION...

Tukutaneni kwenye uwanja wa vita ya siasa za hoja...
 
Umeandika ujinga kwa jinsi watu wanavyoumizwaga na kupigwa kutetea kura zenu aalafu unakuja na hii hoja una shida .. hama chama
 
CHADEMA imefika hapa kwasababu ya Upuuzi wa Lissu na Udhaifu wa Mnyika.
 
Kama ambavyo kuliwahi kuwa na wabunge wasio na chama, yanazungumzika. Kanuni kitu gani kama lile kubwa ni kajitabu tu.
 
Mungu amesikia kilio chenu,atafanya kitu
P
Mkuu P, ni kweli MUNGU Hadhihakiwi, hawa jamaa walitakiwa wakae pamoja, wajadili mambo yao kwa pamoja na hatimae kufikia mwafaka/makubaliano kwa mujibu wa sheria za chama chao, Katiba ya JMT na Sheria za Uchaguzi, lakini wengine waka shupaza masashingo yao, na wakaona ni BORA WAGAWANE MBAO, ona sasa jahazi linavyo zama, wale wenzangu na mimi (wenye matamanio ya viti "MAALUMU") wafuata mkumbo hao ndio watakao zama bila msaada wa kuokolewa". Sisi huku tumetulia tunawache kitu.
 
Naona kama sasa hatuna tena mvuto wala hoja. Maana kitendo cha Mnyika kutoenda kusign makubaliano na sisi sasa maana yake hatutagombea Ubunge wala Udiwani. Hii imekaaje?

Maana naona waliokuwa wanatushauri kwa sasa tukiwapigia simu wanakuwa busy nadhani na maandalizi. Na tulikuwa tunaambiwa tutazunguka nchi nzima kusema tutashiriki. Sasa baada ya kuwa hatuja sign itakuaje?

Je kuna namna tutashiriki kinyemela au itakuaje?maana sasa kwa kweli tumechoka sana. hawa washawishi wetu hata hawatupi mwendelezo nini kinaendelea. Wametuacha Solemba.

Tunaombeni msaada wa kisheria je haiatawezekana kabisa sisi kushiriki kuchaguliwa?tulishagawana majimbo kugombea kupitia Chadema. Tusiposhiriki Chama kitakufa. Na tukishiriki si mbaya wanakufa wanachama. So tushiriki tu Chadema kina wanachama wengi hawataweza waua wote.
Vyama 18 mnakwama wapi
 
Back
Top Bottom