Gobole Lenye Risasi
JF-Expert Member
- Oct 31, 2014
- 11,519
- 23,693
Ni muda rasmi wa nyie kuhamia vyama vingine 18.Naona kama sasa hatuna tena mvuto wala hoja. Maana kitendo cha Mnyika kutoenda kusign makubaliano na sisi sasa maana yake hatutagombea Ubunge wala Udiwani. Hii imekaaje?
Maana naona waliokuwa wanatushauri kwa sasa tukiwapigia simu wanakuwa busy nadhani na maandalizi. Na tulikuwa tunaambiwa tutazunguka nchi nzima kusema tutashiriki. Sasa baada ya kuwa hatuja sign itakuaje?
Je kuna namna tutashiriki kinyemela au itakuaje?maana sasa kwa kweli tumechoka sana. hawa washawishi wetu hata hawatupi mwendelezo nini kinaendelea. Wametuacha Solemba.
Tunaombeni msaada wa kisheria je haiatawezekana kabisa sisi kushiriki kuchaguliwa?tulishagawana majimbo kugombea kupitia Chadema
Kule kwingine hakuna issue ndugu yangu hawana watu so hatutakuwa na maana kwa serikali.na kule hakuna tishio lolote.Ni muda rasmi wa nyie kuhamia vyama vingine 18.
Jibu mujarab kabisa!Ni muda rasmi wa nyie kuhamia vyama vingine 18.
Hiki chama tumetoka nacho mbali siyo rahisi tu kuhama uwe mwelewaKwan nyie mmpepigiwa misumari chadema!? Ondokeniiii
Wahi mirembe wewe sio G55Naona kama sasa hatuna tena mvuto wala hoja. Maana kitendo cha Mnyika kutoenda kusign makubaliano na sisi sasa maana yake hatutagombea Ubunge wala Udiwani. Hii imekaaje?
Maana naona waliokuwa wanatushauri kwa sasa tukiwapigia simu wanakuwa busy nadhani na maandalizi. Na tulikuwa tunaambiwa tutazunguka nchi nzima kusema tutashiriki. Sasa baada ya kuwa hatuja sign itakuaje?
Je kuna namna tutashiriki kinyemela au itakuaje?maana sasa kwa kweli tumechoka sana. hawa washawishi wetu hata hawatupi mwendelezo nini kinaendelea. Wametuacha Solemba.
Tunaombeni msaada wa kisheria je haiatawezekana kabisa sisi kushiriki kuchaguliwa?tulishagawana majimbo kugombea kupitia Chadema
Kama nia yenu ni kugombea ubunge, basi vyama viko vingi kabisa. Tunajua hilo ndilo lilikuwa lengo la Mbowe ili azidi kupiga ruzuku huku akilaghai raia kuwa ni kamanda wa mabadiliko lakini kwa bahati nzuri chama kiko mikononi mwa watu makini sasa hivi.Naona kama sasa hatuna tena mvuto wala hoja. Maana kitendo cha Mnyika kutoenda kusign makubaliano na sisi sasa maana yake hatutagombea Ubunge wala Udiwani. Hii imekaaje?
Maana naona waliokuwa wanatushauri kwa sasa tukiwapigia simu wanakuwa busy nadhani na maandalizi. Na tulikuwa tunaambiwa tutazunguka nchi nzima kusema tutashiriki. Sasa baada ya kuwa hatuja sign itakuaje?
Je kuna namna tutashiriki kinyemela au itakuaje?maana sasa kwa kweli tumechoka sana. hawa washawishi wetu hata hawatupi mwendelezo nini kinaendelea. Wametuacha Solemba.
Tunaombeni msaada wa kisheria je haiatawezekana kabisa sisi kushiriki kuchaguliwa?tulishagawana majimbo kugombea kupitia Chadema
Ndoa zinavunjika sembuse chama. Chama siyo mali ya yenu bali ni wanachama kwa ujumla wao.Hiki chama tumetoka nacho mbali siyo rahisi tu kuhama uwe mwelewa
Wahi Amana wewe ukajifungue mtoto wa 7Wahi mirembe wewe sio G55
Mungu amesikia kilio chenu,atafanya kituNaona kama sasa hatuna tena mvuto wala hoja. Maana kitendo cha Mnyika kutoenda kusign makubaliano na sisi sasa maana yake hatutagombea Ubunge wala Udiwani. Hii imekaaje?
Maana naona waliokuwa wanatushauri kwa sasa tukiwapigia simu wanakuwa busy nadhani na maandalizi. Na tulikuwa tunaambiwa tutazunguka nchi nzima kusema tutashiriki. Sasa baada ya kuwa hatuja sign itakuaje?
Je kuna namna tutashiriki kinyemela au itakuaje?maana sasa kwa kweli tumechoka sana. hawa washawishi wetu hata hawatupi mwendelezo nini kinaendelea. Wametuacha Solemba.
Tunaombeni msaada wa kisheria je haiatawezekana kabisa sisi kushiriki kuchaguliwa?tulishagawana majimbo kugombea kupitia Chadema
Too lateKwan nyie mmpepigiwa misumari chadema!? Ondokeniiii
Waende vyama vingine vipo vingi tuuMungu amesikia kilio chenu,atafanya kitu
P
Basi anzisheni Chama lenu ili ikifika 2030 mnafanya maamuzi yenu wenyewe.Kule kwingine hakuna issue ndugu yangu hawana watu so hatutakuwa na maana kwa serikali.na kule hakuna tishio lolote.
Sasa unadhani bila ruzuku chama kitaendaje mbele? Ubunge tunataka sana hivi vyama vingine havina watuKama nia yenu ni kugombea ubunge, basi vyama viko vingi kabisa. Tunajua hilo ndilo lilikuwa lengo la Mbowe ili azidi kupiga ruzuku huku akilaghai raia kuwa ni kamanda wa mabadiliko lakini kwa bahati nzuri chama kiko mikononi mwa watu makini sasa hivi.
Wewe ni mwanasheria tuambie hapa sasa inaenda kuwaje?maana ni kama tumepoteza kote. Na msajili naye hakutumia utulivu kuamua suala la kusign. Ndo hapo kama tumepigwa chenga ya mwili.Mungu amesikia kilio chenu,atafanya kitu
P