Msaada: Mimi ni mmoja ya G55 sasa baada ya hapa tunafanyaje ndugu zanguni? Maana ni kama hesabu zimeenda hovyo

Kuvunjika kwa kpleo sio mwisho wa uhunzi. Maisha lazima yaendelee.
 
Kama lengo lenu lilikuwa ni kugombea na kupata ulaji tafuteni pa kwenda.
Ila kama lengo lenu lilikuwa kuikomboa nchi kama viongozi wenu wanavyodai. Basi komaeni hukohuko tu.
Iko siku...
 
Itishen press nyingime haraka sana, aje na huyo aliyefadhili mpango huu - wananchi wakimuona watawaunga mkono.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…