Msaada: Mimi nmesoma Elimu ya watu wazima na maendeleo ya jamii, hivi Kuna uwezekano wa kubadilishwa kutoka kwenye ualimu nikaenda ustawi wa jamii?

Joined
Dec 7, 2024
Posts
1
Reaction score
0
Naomba msaada plz. Mimi nmesoma Elimu ya watu wazima na maendeleo ya jamii, hivi Kuna uwezekano wa kubadilishiwa muundo kutoka kwenye ualimu nikaenda kufanya kazi Uastawi wa jamii au maendeleo ya jamii? , na je maendeleo ya jamii scale yao ya mshahara ni zaidi ya ualimu? Naomba kueleweshwa kwa mtu mwenye uzoefu
 

Attachments

  • 1733553515462.jpg
    215.5 KB · Views: 6
Weka wazi ualimu upi ulionao wewe.

Ustawi upi wa jamii unasema mshahara wake upo juu?
 
Funguka zaidi Mkuu.
 
Haiwezekani kubadilishiwa muundo Kwa kusoma kada hio.Wewe umesomea ualimu bado ila unaweza kuomba Kwa Mkurugenzi wako au Kwa Mkurugenzi wa elimu Ili ukapige kazi Wilayani upande wa elimu.Pia scale ya mshahara Mwalimu Yuko juu kidogo ila marupurupu Mwalimu kazidiwa.Tofauti yao kama 8000 hivi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…