Msaada: Mjamzito kula mende na mijusi

Itakuwa hata mimba ni ya mende ama mjusi si yako kijana.
 

Duh, mkuu jihadhari usije ukawa unaishi na jini! Ila lkama ana mimba msamehe na mvumilie tu. Akizaa, hopefully ataacha!
 
Unaishi n'a zombie ipo siku atang'oa mashine yako na kuikaanga ............shauri yako
 
Waasia wanaamini hivo vitu vinamfanya mtoto awe genius, maybe amepewa hiyo habari ndo maana anafanya hayo
 
JARIBU HII DAWA:
=>Kata vipande vidogo vidogo vya mchaichai.
=>Chukua dagaa waliokauka(wakavu).changanya vyote, halafu kaanga ktk mafuta ya kula jikoni, Ale kutwa mara 2 kwa siku 5. Atakuwa amepona ulaji wa vitu vya ajabu ajabu.
 
JARIBU HII DAWA:
=>Kata vipande vidogo vidogo vya mchaichai.
=>Chukua dagaa waliokauka(wakavu).changanya vyote, halafu kaanga ktk mafuta ya kula jikoni, Ale kutwa mara 2 kwa siku 5. Atakuwa amepona ulaji wa vitu vya ajabu ajabu.
Shukran sana mkuu
 
Kwani huyo mke wako hana baba na mama yake?? Umeshawahi kuwauliza kujua kwamba alikua na tabia hiyo toka utotoni?? Na ww ktk kuishi nae kabla hajapata hiyo mimba je alikua anakuficha pia chakula chake au??
 
Kulingana na DSM-IV huyo anatatizo linaitwa ‘Pica’ na kuna form mbalimbali za tatizo hilo.
Mara nyingi tatizo hilo huwapata wajawazto na watoto wadogo, na watu wenye Autism
 
Kitaalamu tunaiita "PICA", lakini mara kwa mara kwenye Pica Mama mjamzito anakula vitu ambavyo havina faida kilishe yaani havina "Nutrients". Sasa mende kilishe ana PROTINI ya kutupa, mijusi wana 64% protini, 10% mafuta, calcium (Kalisi) na majivu.

Mpeleke mkeo Hospitali wakampime damu-FBC,UE, Bones, LFTs, Ferritin na vipimo vingine daktari wake atakavyoamua.

Wadau wanaokula mende wanasema yaani mende ni mtamu kwelikweli hususan yule wa kubanika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…