kirikuu.com
JF-Expert Member
- Mar 22, 2014
- 461
- 526
Itakuwa hata mimba ni ya mende ama mjusi si yako kijana.Habarin wanajf
Mke wangu tangu nmemuoa naona maajabu chakula anapika viwili chake na changu chake hataki nikione, nkaamua kumchunguza ankula nin mpk niskione nmekuta anapika Mende na muda mwingine anawabanika na kulia ugali ,
Kila nkimuuliza ankuwa mkali sana sielew nifanye nin.
Jana ndio kanichosha sana amekamata mijusi wawili kawala bila ya kuwapika mbele yangu.
Na sasa ni mjamzito nashindwa hta lakufanya
Naombeni msaada jamn