Kitaalamu tunaiita "PICA", lakini mara kwa mara kwenye Pica Mama mjamzito anakula vitu ambavyo havina faida kilishe yaani havina "Nutrients". Sasa mende kilishe ana PROTINI ya kutupa, mijusi wana 64% protini, 10% mafuta, calcium (Kalisi) na majivu.
Mpeleke mkeo Hospitali wakampime damu-FBC,UE, Bones, LFTs, Ferritin na vipimo vingine daktari wake atakavyoamua.
Wadau wanaokula mende wanasema yaani mende ni mtamu kwelikweli hususan yule wa kubanika.