Msaada: Mke kaniroga nikienda nje haisimami, ndani inasimama

Msaada: Mke kaniroga nikienda nje haisimami, ndani inasimama

hamilton

Member
Joined
May 29, 2015
Posts
6
Reaction score
12
Habari za mida wana Jf,

Nimekua na mgogoro mkubwa na mke wangu kwa muda flani sasa, nisingependa kuutaja maana nilishautaja mgogoro huo hapa na tulishaufunga mjadala huo. Kutokana na huo mgogoro nikalazimika kutafuta farijiko pembeni, farijiko hilo ni staff mwenzangu kazini ambae alikua alikua historia ya mgogoro wangu.

Mwanzo nilienda kujipumzisha tu kwa muda ili kupata muda wa kupumua kuondoa stress lakini baadae nikanogewa nikawa nalala huko siku mbili hadi tatu ndo narudi home. Sijajua wife alitumia mbinu gani kumbaini mbaya wake, maana nilishangaa tu katia team kazini na kuanzisha varangati. Hata nyumbani kwa huo mchepuko sijui kapajuaje, nilistukia tu siku moja tumejipumzisha ndani akatia Tim pale na kuanzisha fujo akinitaka turudi nyumbani la sivyo pale pangegeuka Syria, ilikua ni aibu kubwa nikalazimika kutii na kuondoka nae.

Tulipofika home nilikua na hasira sana nikamwambia hata afanyeje mimi nitaendelea tu na yule mwanamke wangu apende asipende nae akanijibu kwamba tutaona nani mshindi, kwamba nikiendelea na huyo mwanamke nitaona kitachonipata
Kweli bana, nilikaa siku kadhaa bila kwenda, siku nilipoenda kwa mchepuko nikashangaa uume hausimami, tulijaribu kila namba lakini wapi. Kila siku tukawa tunajaribu bila mafanikio.

Tulikua na siku nyingi hatujafanya mapenzi na mke wang kwa sababu ya ugomvi, cha kushangaza ghafla tu usiku akaanza kunitomasa na kunifanyia romance ya nguvu, huku akinibembeleza tudumishe ndoa yetu mara tusimpe shetani nafasi sijui na blah blah nyingi hadi tukajuana bila shida.Kesho yake niliporudi kwa mchepuko haisimami tena, ndipo nikakumbuka ile kauli kwamba "" tutaona"".Tumejaribu na kujaribu na mchepuko wangu lakini wapi.

Hadi umeenda sehemu na kuambiwa ni mke wangu ndo amefanya vile so mtaalam kamwambia ni lazima niende nikatibiwe la sivyo nitakua sitembei na mwanamke mwingine yoyote yule zaidi ya mke na ikitokea tumeachana ndo balaa kabisa
Yaani ametengeneza dawa nisimamishe kwake tu. Lakini cha ajabu huyu mke wangu hujidai mtu wa dini kwa kuimba mimba vijinyimbo vya kina rose mhando muda wote

Wakuu mnanishaurije? Niende kwa huyo daktari wa mchepuko wangu nikatibiwe?

Nimethibitisha kwamba ni mke wangu maana kawa mtu mwema sana kwangu tangu shida hii inipate, akifanya vyote tulivyokua tukifanya zamani mwanzo wa ndoa

Nimetafuta binti mwingine kabisa ili nijaribishe ikawa vile vile niliporudi home mambo safi

Wakuu nahitaji msaada wa haraka tafadhali

Ugomvi wangu na wife uliotufikisha hapa hatukawahi kuumaliza na nilimtimua kurudi kwao ndipo akarudi kwa kufosi ndipo nikatafuta demu pembeni.


 
Mmmmmh mwambie akurudishie utu wako lakini ukili kuwa hutorudia tena...aiseee pole sana mkuu kwa hiyo papuchi za nje saivi hakuna tena hahahahaaaa afu inaonyesha unazimic kinoma noma
 
Mrudie,tu km mzigo anakupa kuna shida gan acha bas mambo yako jamaaa
 
weeeeee .ni aje acha uzinzi..na uashrti..tulia na mkeo...ndoa siinasema mpka kufa.....balaaaa mkeo awe wakwanza kufa mamaaaaaaaaaaaaa hahaaaaaahaaaaahaaaaaaaa
 
Huyo Mganga aliye mpa hiyo dawa mkeo yuko wapi ili na mke wangu aende ili aniroge na Mimi maana nimechoka na michepuko, kila nikichepuka huwa ninatoa dose kubwa kwa michepuko kuliko kwa my wife wangu na baadae huwa najutia kwanini nilihepuka! Si bora nirogwe
 
Mkuu punguza stress za kumuogopa mkeo tu mashine itasoma network mpaka utapenda.
mkuu tizama:
1.Migogoro ya muda mrefu ina madhara.
2. Madhara yake ni kupata stress.
3. Stress hupelekea msukumo wa damu kwenda kwenye paipu kuu kuwa mdogo.
4.Matokeo yake mtarimbo hulala dodo ukiwa na mchepuko
5.Wakati ukiwa na mkeo mashine huwa kidedea.
5.Tiba: Punguza hofu juu ya mkeo.
6.Acha michepuko.
7.Ukiendelea hivyo mashine itakufa kabisa huko mbeleni.
 
Hujarogwa ,hiyo ni haki yake ya msingi,kama vipi acha mchepuko,hutaki endelea kujidhalilisha kwa warembo na mihela unawapa,
 
Usikute dawa alioweka ni kali inahitaji hadi yeye mwenyewe afanye mambo fulani ndio ikae sawa. Utasanda.
 
Back
Top Bottom