Msaada: Mke kaniroga nikienda nje haisimami, ndani inasimama

Duh pole sn lkn dawa yake ni rahisi tu wazee wasemaga inabidi uweke mchepuko wako standby then fanya tendo na mkeo iksimama tu chomoa na ichomeke kwa mchepuko kabla haijalala pin itakuwa kwishinei but am not sure of that anyway waweza jarib
 
Nenda haraka kwa sangoma please... baada ya muda atalianzisha tena ili kuona utafanyaje...
 
ha ha ha ndo wife afe kwisha habari yako
 
Mmmmmh mwambie akurudishie utu wako lakini ukili kuwa hutorudia tena...aiseee pole sana mkuu kwa hiyo papuchi za nje saivi hakuna tena hahahahaaaa afu inaonyesha unazimic kinoma noma
akirudishiwa si inabidi aende kwa mchepuko kuhakikisha?
 
Nadhani ungeshukuru mungu manake utatulia nyumbani
 
Papuchi nazo ziwekewe password sasa. Maana hakuna namna, tumechoka sasa. Bwia viagra uone kama haitashika network. Ikikamata network, mtafutie mtaalam amtie wife password kwenye papuchi. Siku ukitaka kubadili mboga unameza tembe
 
Ha ha ha ha duh! huu mtego naweza utegua mana niliachiwa dawa nyingi na babu yangu so nitafute kwa no. 0754532532.
 
Pole sana mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…