Msaada: Mke wa mtu anataka kuhamia kwangu

😂😂😂😂Yaan huyo uliyemkosea hujamuomba msamaha unakuja mtandaoni??
au uliona ID yake huku!!
We mpigie simu au tuma watu waende hapa umeleta usikie watu wanamtazamk gan
Haina shida, naona umeivalia njuga kweli kweli... Mmmhhhh

Dunia tunapita.
 
daah pole mzee, ajali kazini..... japo sio fair kutembea na mke wa mtu ila it happens haya mambo wala hatipangagi.
kwa kuwa lishatokea, tafuta means utamtumia jamaa ujumbe wa kumuomba radhi, na muambie ni makosa yako kumrubuni mke wake, hivyo unajiombea msamaha na kumuombea msamaha mke wake, pia muahidi hutojihusisha kwa namna yyte na mke wake, hvyo amrudie mke wake walee familia. mwambie umechukua maamuzi ya kuhama mji na hutorud tena hvyo unajutia sana kumrubun mke wako.

pia mwambie huyo mwanamke amuombee msamaha mke wake huku lawama zote ziwe kwako na kwa shetan.. kama jamaa hatamuelewa basi arud home akapumzike muwasiliane baada ya muda kupena updates, jamaa ana chance ya kumsamehe mke wake hasira ikiisha, ila akigoma basi angalia namna ya kuchukua tu hilo goma ila for the time being wewe na huyo manz mpambanie kuokoa ndoa.

chukua tahadhari huyo jamaa akiamua kukutafuta itakua hatari hvyo play smart.
 

Attachments

  • Screenshot_20240426-180031.png
    138.3 KB · Views: 5
Kaka uko smart sana... Ushauri wako ni mzuri mno... Akhsante sana.
 
Hapo uliposema uwezi kuoa single mother ungefikiria hilo kabla ya kwenda kusababisha usingle mother kwa huyo mke wa mtu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…