Witch hunter
JF-Expert Member
- Nov 21, 2018
- 2,106
- 5,806
- Thread starter
-
- #441
Tutapiga hatua, every general rule has an exception. Naamini huyu sio kama hawaAcha kujiliza liza wakati wewe umeelezea kwa kina umalaya wenu mliokuwa mnaufanya.
Kwa taarifa yako, mwanamke akishatoka nje ya ndoa na akaja kuolewa na huyo mchepuko, muoaji ajiandae kisaikolojia maana atokaye nje haachi hadi akutane na vumbi.
Yaani jiandae na hiyo chemistry menu, utakuja kustuka too late
Utiwe moyo kwenye upumbavu???!!!
😂😂😂umefanya nimecheka kwa nguvu 😂😂😂yaani wewe😂😂😂Sasa naelewa kwanini huyu jamaa haja mind kumla mkewe kavuta goma jingine 🤣😂alijua wameathirika na virusi vya ukimwi ndo maana haku mind akajua ameshakuunga na grid ya Taifa umekanyaga miwaya ya umeme 😂🤣akakuacha uhangaike ninao umenikumbusha wimbo wa Siza Masogera nibebeshe nibebeshe nibebeshe Ukimwi nihangaike nao haya kijana endelea kumeza ARV usiache epuka stress tumia condom epuka maambukizi mapya.
HayaTutapiga hatua, every general rule has an exception. Naamini huyu sio kama hawa
🙏🙏🙏Achana na huyo mwanamke
😂😂😂umefanya nimecheka kwa nguvu 😂😂😂yaani wewe😂😂😂
yeah sureFurahi mwaego maisha mafupi.
mungu atusamehe kakaDunia imejaa watu wa ajabu sana
unasema mlipendana sana jamaa amekuachia muendelee kupendana hutaki unataka nini sasa
toka lini mkapendana na mke wa mtu?
Kiufupi utakoma maumivu uliyomtengenezea mwanaume mwezio yatajibu soon.....
Mmmhhhh ntakuwa tu padri😎Mkuu umezingua! Jiandae ukioa na wewe uchapiwe..!🤸
Hakika mkuuKosa kubwa ambalo umefanya kama mtoto wa kiume kwenda kulala kitanda cha mwanaume mwenzako, kosa kubwa sana kulala chumba cha mwanaume hali ya kuwa anayelipia kodi humjui. Lolote lingeweza kukukuta humo ndani usije ukarudia tena kufanya hicho kitendo.
Nimeamini hakuna mkamilifu, upo perfect kule kumbe huku unaboronga.Mmmhhhh ntakuwa tu padri😎
Nimeamini hakuna mkamilifu, upo perfect kule kumbe huku unaboronga.
Usiamini sana hadithi za JF mkuu.Dunia imejaa watu wa ajabu sana
unasema mlipendana sana jamaa amekuachia muendelee kupendana hutaki unataka nini sasa
toka lini mkapendana na mke wa mtu?
Kiufupi utakoma maumivu uliyomtengenezea mwanaume mwezio yatajibu soon.....
Nashangaa sana mnaamini watu humu JF. Unaweza kukuta huyo mleta uzi ji darasa la 7 au Form 1 anatumia Simu ya Shemeji yake kupiga sound humu JF na nyie mnamuamini na kuwa serious naye kabisa.Nimeamini hakuna mkamilifu, upo perfect kule kumbe huku unaboronga.
Ni kweli usemayo lakini utajuaje hii ni chai na hii siyo?Nashangaa sana mnaamini watu humu JF. Unaweza kukuta huyo mleta uzi ji darasa la 7 au Form 1 anatumia Simu ya Shemeji yake kupiga sound humu JF na nyie mnamuamini na kuwa serious naye kabisa.