Msaada: Mke wa mtu anataka kuhamia kwangu

Msaada: Mke wa mtu anataka kuhamia kwangu

Sijajua umeboronga ukiwa mkoa gani na unahamia mkoa upi, ila nawaza tu kuwa ingefaa uzamie nchi nyingine kabisa kama DRC, Zambia, nk, utulie na kuanza upya. Ufanye mishe huko hata miaka 10 bila kukanyaga Tz.

Kuhusu huyo mpenzi wako (mke wa mtu) kujaribu kumrudia ni sawa tu na kuvaa bomu, utajuta
Kaka, nimepokea ushauri mwingi ila huu wako khaaa!!! DRC au Zambia naanzia wapi ndg?

We unanipa ushauri ukiwa nchi gani mkuu?
 
Jamaa apeleleze ID yako na Location waje wakukamate wakupige mtungo ! wakufumue ayo marinda nadhan hiyo itatosha kukufungua ilo kichwa lako lisiloweza kufikiri
 
Yani hata uwe na nyege kiwango chalami kosa Moja usifanye usende kulala Kwa mwanamke ata iwe vp
 
Mambo mengine wanaume huwa tunajisahau sana. Yaani ulitumia mpaka ATM yangu halafu bado ukaona wewe ni mjanja? Unakimbia nini sasa mwanamke nimekuachia unakimbia nini sasa wewe si ni kiume ambaye mpenzi wako ni mke wa mtu na ulijua tangu mwanzo? Mchukue mkaishi huko uliko wewe muendeleze Mapenzi.
Mkuu sio kwamba nina kiburi hapana... Kama ningekuwa jeuri basi nisingekimbia...

Sema tu baada ya kuskiza ushauri imebidi niwe tyar kwa lolote... Kama wataelewena na mmewe ni sawa... Kama pia watashindwana mi itabidi niishi nae tu.

That's All
Yani kumamake unajibu tu au sio fresh au sio kumamake funguka upande mwengine utakuja kujuta
 
Yani hata uwe na nyege kiwango chalami kosa Moja usifanye usende kulala Kwa mwanamke ata iwe vp
Malizia kwa mwanamke ambae si wako.

Mimi mwanamke naemuhudumia kila kitu ni ruksa kwenda kwake muda na wakati naoutaka mimi hata kama ni saa 9 za usiku.

Apa naandika nikiwa kwa mwanamke wangu tena kupitia simu yake, yangu ipo chaji 🤝
 
Kiufupi huyu jamaa fala sana yaaani now days unapapalika na mke wa mtu🥲 huyu akikupa unakula unaacha nae shobo halafu fresh maisha yanaenda… endelea kuteseka mbwa wewe
 
Yani kumamake unajibu tu au sio fresh au sio kumamake funguka upande mwengine utakuja kujuta
Jamaa alijua tangu mwanzo na amekula hadi pesa ya jamaa kwa kutoa mwenyewe kwenye ATM. Huyu sio wa kawaida na haipaswi kumuona huruma. We unavuja jasho huko kutafuta mpunga wa Familia halafu mtu akavute kiulaini ATM sababu anapiga mkeo? Weeeh hapana aise. Nikikujua lazima ulipe fidia.
 
Back
Top Bottom