Mr.Junior
JF-Expert Member
- Sep 8, 2013
- 12,454
- 11,029
Hakuna msamaha kwa bazazi anayekula wake za watu, Acha upakwe wese.The cats and the dogs have forgiven each other, what's wrong with us?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakuna msamaha kwa bazazi anayekula wake za watu, Acha upakwe wese.The cats and the dogs have forgiven each other, what's wrong with us?
Kaka, nimepokea ushauri mwingi ila huu wako khaaa!!! DRC au Zambia naanzia wapi ndg?Sijajua umeboronga ukiwa mkoa gani na unahamia mkoa upi, ila nawaza tu kuwa ingefaa uzamie nchi nyingine kabisa kama DRC, Zambia, nk, utulie na kuanza upya. Ufanye mishe huko hata miaka 10 bila kukanyaga Tz.
Kuhusu huyo mpenzi wako (mke wa mtu) kujaribu kumrudia ni sawa tu na kuvaa bomu, utajuta
InshallahChukua huyo jumla
God is my witness. Nimetubu, nimejuta na siwezi rudia.Hakuna msamaha kwa bazazi anayekula wake za watu, Acha upakwe wese.
Yaan huyu inabid aliwe bila mafuta aone maumivuHakuna msamaha kwa bazazi anayekula wake za watu, Acha upakwe wese.
Mambo mengine wanaume huwa tunajisahau sana. Yaani ulitumia mpaka ATM yangu halafu bado ukaona wewe ni mjanja? Unakimbia nini sasa mwanamke nimekuachia unakimbia nini sasa wewe si ni kiume ambaye mpenzi wako ni mke wa mtu na ulijua tangu mwanzo? Mchukue mkaishi huko uliko wewe muendeleze Mapenzi.
Yani kumamake unajibu tu au sio fresh au sio kumamake funguka upande mwengine utakuja kujutaMkuu sio kwamba nina kiburi hapana... Kama ningekuwa jeuri basi nisingekimbia...
Sema tu baada ya kuskiza ushauri imebidi niwe tyar kwa lolote... Kama wataelewena na mmewe ni sawa... Kama pia watashindwana mi itabidi niishi nae tu.
That's All
Ushapita uko mshauri kashamwaga ugali msenge huyu msaidieKuna kitu nataman kumshaur ila nasita sn, story ya jamaa na tarehe alizoandika Kama zinaendana na mtu nnaemfahamu. KWAKWELI Niko dilemma[emoji29]
Malizia kwa mwanamke ambae si wako.Yani hata uwe na nyege kiwango chalami kosa Moja usifanye usende kulala Kwa mwanamke ata iwe vp
KabisaYaan huyu inabid aliwe bila mafuta aone maumivu
Toka ujana wangu hadi sasa uzee wangu, sijawahi na sintawahi jishughulisha na wake za watu. Nyie mnatakiwa msulubiwe.Usiniombee mabaya namna hiyo. Sisi sote ni wanaume... Leo Kwangu kesho kwako...
Jamaa alijua tangu mwanzo na amekula hadi pesa ya jamaa kwa kutoa mwenyewe kwenye ATM. Huyu sio wa kawaida na haipaswi kumuona huruma. We unavuja jasho huko kutafuta mpunga wa Familia halafu mtu akavute kiulaini ATM sababu anapiga mkeo? Weeeh hapana aise. Nikikujua lazima ulipe fidia.Yani kumamake unajibu tu au sio fresh au sio kumamake funguka upande mwengine utakuja kujuta
Mungu yupi mzee.Naamini Mungu atanisamamia. Inshallah
We ni wa kupakwa kirainishiii!!….Uliwe nawwMungu aniepushie mkuu. Inshallah