Msaada: Mke wangu anataka tuwe tunaishi na mtoto wa dada yake kila wikiendi na likizo

Asante mkuu kwa kumwambia ukweli, kuna watu wanatokwa povu hapa kumwona jamaa ni mchoyo na ana roho mbaya, huyo mtoto sio yatima,
 
Hahahahah mtoto wa miaka 6 yupi huyo anaekula mlo wa mtu mzima? Angekuwa 11+ hapo sawa ila 6 yrs ni mdogo sana bana we. Mtoto wa la kwanza ale mlo wa mtu mzima?
Mkuu nna watoto na naongea kwa ushahidi siropoki tu. Uzuri wana umri huo na ni mapacha
 
Ila kwa upande mwingine hebu tumuelewe mleta mada. Hapo anapoishi ni kwake so ana haki ya kuweka masharti anayo taka yawepo kwaajiri ya ustawi wa familia yake anayoitaka.

Mimi katika kitu si shauri ni mwanamke kukinzana na mwanaume wake juu ya namna ya kupeleka maisha yao ndio imekuwa sababu kubwa sana ya mifarakano na kuharibu uhai wa mapenzi katika ndoa nyingi.

Mwanamke muelewe mwanaume wako anataka nini. Kama ni roho mbaya hebu kaa nae chini mfunze kwa upendo kuwa kushare au kuwapatia wengine na kuwasaidia haikupunguzii kile unachotaka kuwa nacho bali kuwasaidia wengine huleta baraka hata katika utafitaji wako.

Ni swala la mentality tu na kubadili mitazamo. Ila ukimlazimisha utakuwa unamfanyia kosa la uhaini na kumfanya asikuamini kama mwenza wake. Nenda nae taratibu na kwa upendo. Mjali na kuelewa hisia zake na mawazo yake.
 
Basi huyo ni mwanae wa kwanza sio wa dada yake
 
Mkuu nna watoto na naongea kwa ushahidi siropoki tu. Uzuri wana umri huo na ni mapacha
Mkuu hakikisha unanunua ALBENDAZOLE haraka sana na kesho asubuhi kabla hawajala chochote hakikisha unawapa wote wawili watafune. Utakuja kunishukuru baadae.
 
Tuko pamoja mkuu,
Mimi nna watoto wa miaka 6 tena mapacha wa kike, wanakula mkate mzima wao wa2 tu kila siku na kuna mdogo wa miaka mi4 na nusu siku za shule tu yeye ndio hula sana anakala mkate mzima anabakisha sless 4 au 3 tu ukimwekea na blueband, hapo bado cha mchana, usiku na matunda afu kuna mtu anatokwa povu hapa eti chakula kwa watoto sio gharama nahisi hawana watoto hao.
 
Mkuu watu tunatamani tupate hata hao watoto tulee ila hatupati
 
Mkuu hakikisha unanunua ALBENDAZOLE haraka sana na kesho asubuhi kabla hawajala chochote hakikisha unawapa wote wawili watafune. Utakuja kunishukuru baadae.
Nawapaga kila baada ya miezi mi3
 
Subiri ukue mkuu ndio utanielewa,
Mkuu mkuu, ila ukiwa na uwezo wa kusaidia saidia mkuu huwezi jua huyo uliyemsaidia yy atakusaidia kipnd gani. Yamkini huyo unayemsaidia anaweza kuwa wa maana kuliko hata mwanao wa kumzaaa. Hili nimelishuhudia live kule kwetuπŸ’― saidia ukiwa unao huo uwezo. Can u imagine mtu mtot kwenda tu weekend/holiday jamaa anafura??? Mhhh sishauriπŸ˜‡
 
Mkuu ni kweli ila mtoto anajikuta kazoea michezo ya kike muda wote, mama mtu hawarekebishi.
Acha uchoko kijana mtoto mdogo anaelewa nn mwanangu anacheza na jirani wa kike toka akiwa na miaka mi2. Hadi Leo 6 unasema anaiga tabia za kike mfundishe mwanao na awe anajichanganya na wengine na uyo WA kike wanichanganya na watoto wengine tatizo lako mchoyo mbinafsi alafu hupendi kuona mtu anakula au kutumia kitu chako jinga sana ww
 
Duuh!! Samboka umewasupress magirit sinka walio mmnda mleta hoja mpk basi[emoji23][emoji23]

JF sihami!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Magreat sinka wanazingua mkuu, yaani wote ni wema eti.
 
Mkuu mimi nimeasidia sana kuanzia watoto hadi wakubwa lkn sijawahi ona manufaa yake zaidi ya maumivu na kuzalisha chuki kwenye familia,
 
Mkuu mimi nimeasidia sana kuanzia watoto hadi wakubwa lkn sijawahi ona manufaa yake zaidi ya maumivu na kuzalisha chuki kwenye familia,
Viatu vyako vinatoshana na vyangu, ila akae na mkewe waongee, wapime umuhimu, waweke makubaliano, mwisho yeye kama baba asimamie maamuzi
 
Kwani mtoto si ana wazazi?
Hata ikiwa anakula mlo mmoja kwani hatumii ela kununua?
Naona tunadanganyana hapa kulea sio gharama
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…