Msaada: Mke wangu anataka tuwe tunaishi na mtoto wa dada yake kila wikiendi na likizo

Msaada: Mke wangu anataka tuwe tunaishi na mtoto wa dada yake kila wikiendi na likizo

Hawa jamaa wasikutishe....nyumba si yako! Matumizi ya familia si unatoa wewe?

Sasa nani anakuamlia jinsi unavyotaka kuishi na familia yako?

Huyo mwanamke alivyokuwa anazaa na mwanaume mwenye mke hakujua kama mtoto atateswa....

Watu wanaofanya makosa wasiyoweza kushughulika nayo tusiwabebe saana....

Huyo mdogo mtu na mme mtu mpeni mtoto ili wakumbuke uchungu wa starehee waliyokuwa wanaifanya....
Asante mkuu kwa kumwambia ukweli, kuna watu wanatokwa povu hapa kumwona jamaa ni mchoyo na ana roho mbaya, huyo mtoto sio yatima,
 
Hahahahah mtoto wa miaka 6 yupi huyo anaekula mlo wa mtu mzima? Angekuwa 11+ hapo sawa ila 6 yrs ni mdogo sana bana we. Mtoto wa la kwanza ale mlo wa mtu mzima?
Mkuu nna watoto na naongea kwa ushahidi siropoki tu. Uzuri wana umri huo na ni mapacha
 
Ila kwa upande mwingine hebu tumuelewe mleta mada. Hapo anapoishi ni kwake so ana haki ya kuweka masharti anayo taka yawepo kwaajiri ya ustawi wa familia yake anayoitaka.

Mimi katika kitu si shauri ni mwanamke kukinzana na mwanaume wake juu ya namna ya kupeleka maisha yao ndio imekuwa sababu kubwa sana ya mifarakano na kuharibu uhai wa mapenzi katika ndoa nyingi.

Mwanamke muelewe mwanaume wako anataka nini. Kama ni roho mbaya hebu kaa nae chini mfunze kwa upendo kuwa kushare au kuwapatia wengine na kuwasaidia haikupunguzii kile unachotaka kuwa nacho bali kuwasaidia wengine huleta baraka hata katika utafitaji wako.

Ni swala la mentality tu na kubadili mitazamo. Ila ukimlazimisha utakuwa unamfanyia kosa la uhaini na kumfanya asikuamini kama mwenza wake. Nenda nae taratibu na kwa upendo. Mjali na kuelewa hisia zake na mawazo yake.
 
Habari wakuu mke wangu ana dada yake ambaye kazalishwa mtoto mmoja na Dada yake hayuko katika ndoa, hajaolewa na aliyemzalisha alikuja akaoa mwanamke mwingine

Sasa basi mimi na mke wangu tuna mtoto mdogo wa umri sawa na mtoto wa Dada yake.. mke wangu amekuwa akimchukua mtoto wa Dada yake kila Ijumaa na kumrudisha Jumapili kwa Dada yake

Sasa akiwa anataka kumrudisha mtoto hataki kurudi kwa mama yake anataka kuendelea kuishi nasi wakati huo baba wa mtoto hana muda na mtoto wake kwa mahitaji ya mtoto yaani hamuhudumii.

Mama wa mtoto hataki hata siku moja kumpelekea mtoto kwa baba yake sababu ana mke mwingine atamtesa, Sasa amekuwa akimsukumia kwangu kwa kigezo cha kuja kucheza na mwenzake

Je, ni sawa baba wa mtoto yupo na mama wa mtoto kukataa mtoto kwenda kwa baba kutembea kwa kisingizio Cha mama wa kambo atamtesa hivyo kuona ni sahihi aende kwa mama yake mdogo hali ya kuwa baba yupo na anajichana na maisha?
Basi huyo ni mwanae wa kwanza sio wa dada yake
 
Mkuu nna watoto na naongea kwa ushahidi siropoki tu. Uzuri wana umri huo na ni mapacha
Mkuu hakikisha unanunua ALBENDAZOLE haraka sana na kesho asubuhi kabla hawajala chochote hakikisha unawapa wote wawili watafune. Utakuja kunishukuru baadae.
 
Nipo upande wenu mkuu....kila mmoja ashinde mechi zake...

Vitafunwa vya asubuhi tu sikuhizi bei ghali...hasa weekend watu wanakula hatari.

Tehteheth.... ila mimi huwa nashangaa saana. Kwani huyo mwanamke alivyokuwa anafurahia hakujua mwanaume kaolewa na mtoto atakuja kuteseka???
Tuko pamoja mkuu,
Mimi nna watoto wa miaka 6 tena mapacha wa kike, wanakula mkate mzima wao wa2 tu kila siku na kuna mdogo wa miaka mi4 na nusu siku za shule tu yeye ndio hula sana anakala mkate mzima anabakisha sless 4 au 3 tu ukimwekea na blueband, hapo bado cha mchana, usiku na matunda afu kuna mtu anatokwa povu hapa eti chakula kwa watoto sio gharama nahisi hawana watoto hao.
 
Habari wakuu mke wangu ana dada yake ambaye kazalishwa mtoto mmoja na Dada yake hayuko katika ndoa, hajaolewa na aliyemzalisha alikuja akaoa mwanamke mwingine

Sasa basi mimi na mke wangu tuna mtoto mdogo wa umri sawa na mtoto wa Dada yake.. mke wangu amekuwa akimchukua mtoto wa Dada yake kila Ijumaa na kumrudisha Jumapili kwa Dada yake

Sasa akiwa anataka kumrudisha mtoto hataki kurudi kwa mama yake anataka kuendelea kuishi nasi wakati huo baba wa mtoto hana muda na mtoto wake kwa mahitaji ya mtoto yaani hamuhudumii.

Mama wa mtoto hataki hata siku moja kumpelekea mtoto kwa baba yake sababu ana mke mwingine atamtesa, Sasa amekuwa akimsukumia kwangu kwa kigezo cha kuja kucheza na mwenzake

Je, ni sawa baba wa mtoto yupo na mama wa mtoto kukataa mtoto kwenda kwa baba kutembea kwa kisingizio Cha mama wa kambo atamtesa hivyo kuona ni sahihi aende kwa mama yake mdogo hali ya kuwa baba yupo na anajichana na maisha?
Mkuu watu tunatamani tupate hata hao watoto tulee ila hatupati
 
Mkuu hakikisha unanunua ALBENDAZOLE haraka sana na kesho asubuhi kabla hawajala chochote hakikisha unawapa wote wawili watafune. Utakuja kunishukuru baadae.
Nawapaga kila baada ya miezi mi3
 
Subiri ukue mkuu ndio utanielewa,
Mkuu mkuu, ila ukiwa na uwezo wa kusaidia saidia mkuu huwezi jua huyo uliyemsaidia yy atakusaidia kipnd gani. Yamkini huyo unayemsaidia anaweza kuwa wa maana kuliko hata mwanao wa kumzaaa. Hili nimelishuhudia live kule kwetu💯 saidia ukiwa unao huo uwezo. Can u imagine mtu mtot kwenda tu weekend/holiday jamaa anafura??? Mhhh sishauri😇
 
Mkuu ni kweli ila mtoto anajikuta kazoea michezo ya kike muda wote, mama mtu hawarekebishi.
Acha uchoko kijana mtoto mdogo anaelewa nn mwanangu anacheza na jirani wa kike toka akiwa na miaka mi2. Hadi Leo 6 unasema anaiga tabia za kike mfundishe mwanao na awe anajichanganya na wengine na uyo WA kike wanichanganya na watoto wengine tatizo lako mchoyo mbinafsi alafu hupendi kuona mtu anakula au kutumia kitu chako jinga sana ww
 
Mkuu mkuu, ila ukiwa na uwezo wa kusaidia saidia mkuu huwezi jua huyo uliyemsaidia yy atakusaidia kipnd gani. Yamkini huyo unayemsaidia anaweza kuwa wa maana kuliko hata mwanao wa kumzaaa. Hili nimelishuhudia live kule kwetu[emoji817] saidia ukiwa unao huo uwezo. Can u imagine mtu mtot kwenda tu weekend/holiday jamaa anafura??? Mhhh sishauri[emoji56]
Mkuu mimi nimeasidia sana kuanzia watoto hadi wakubwa lkn sijawahi ona manufaa yake zaidi ya maumivu na kuzalisha chuki kwenye familia,
 
Mkuu mimi nimeasidia sana kuanzia watoto hadi wakubwa lkn sijawahi ona manufaa yake zaidi ya maumivu na kuzalisha chuki kwenye familia,
Viatu vyako vinatoshana na vyangu, ila akae na mkewe waongee, wapime umuhimu, waweke makubaliano, mwisho yeye kama baba asimamie maamuzi
 
Acha uchoko kijana mtoto mdogo anaelewa nn mwanangu anacheza na jirani wa kike toka akiwa na miaka mi2. Hadi Leo 6 unasema anaiga tabia za kike mfundishe mwanao na awe anajichanganya na wengine na uyo WA kike wanichanganya na watoto wengine tatizo lako mchoyo mbinafsi alafu hupendi kuona mtu anakula au kutumia kitu chako jinga sana ww
Kwani mtoto si ana wazazi?
Hata ikiwa anakula mlo mmoja kwani hatumii ela kununua?
Naona tunadanganyana hapa kulea sio gharama
 
Back
Top Bottom