Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 70,785
- 186,690
Hata mimi huwa napeleka ndio maana nasema zina utaratibu wake.Hazina utaratibu wowote mbona mimi napeleka tu tena sa ingine nikiamua naishia getini siingii hata huko ndani.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata mimi huwa napeleka ndio maana nasema zina utaratibu wake.Hazina utaratibu wowote mbona mimi napeleka tu tena sa ingine nikiamua naishia getini siingii hata huko ndani.
Asante mkuu kwa kumwambia ukweli, kuna watu wanatokwa povu hapa kumwona jamaa ni mchoyo na ana roho mbaya, huyo mtoto sio yatima,Hawa jamaa wasikutishe....nyumba si yako! Matumizi ya familia si unatoa wewe?
Sasa nani anakuamlia jinsi unavyotaka kuishi na familia yako?
Huyo mwanamke alivyokuwa anazaa na mwanaume mwenye mke hakujua kama mtoto atateswa....
Watu wanaofanya makosa wasiyoweza kushughulika nayo tusiwabebe saana....
Huyo mdogo mtu na mme mtu mpeni mtoto ili wakumbuke uchungu wa starehee waliyokuwa wanaifanya....
Kwani mkewe na watoto sio watu?Hakika mkuu, watu ni Lango la baraka ila jamaa hajui.
Anachotaka nafasi nzuri ya kumshikashika maziwa vizuri mke wake.
Mkuu nna watoto na naongea kwa ushahidi siropoki tu. Uzuri wana umri huo na ni mapachaHahahahah mtoto wa miaka 6 yupi huyo anaekula mlo wa mtu mzima? Angekuwa 11+ hapo sawa ila 6 yrs ni mdogo sana bana we. Mtoto wa la kwanza ale mlo wa mtu mzima?
If you can't convince them, confuse themBasi kuna asilimia huyo mtoto wa kike ni wa mkeo kabla hamjakutana.
Basi huyo ni mwanae wa kwanza sio wa dada yakeHabari wakuu mke wangu ana dada yake ambaye kazalishwa mtoto mmoja na Dada yake hayuko katika ndoa, hajaolewa na aliyemzalisha alikuja akaoa mwanamke mwingine
Sasa basi mimi na mke wangu tuna mtoto mdogo wa umri sawa na mtoto wa Dada yake.. mke wangu amekuwa akimchukua mtoto wa Dada yake kila Ijumaa na kumrudisha Jumapili kwa Dada yake
Sasa akiwa anataka kumrudisha mtoto hataki kurudi kwa mama yake anataka kuendelea kuishi nasi wakati huo baba wa mtoto hana muda na mtoto wake kwa mahitaji ya mtoto yaani hamuhudumii.
Mama wa mtoto hataki hata siku moja kumpelekea mtoto kwa baba yake sababu ana mke mwingine atamtesa, Sasa amekuwa akimsukumia kwangu kwa kigezo cha kuja kucheza na mwenzake
Je, ni sawa baba wa mtoto yupo na mama wa mtoto kukataa mtoto kwenda kwa baba kutembea kwa kisingizio Cha mama wa kambo atamtesa hivyo kuona ni sahihi aende kwa mama yake mdogo hali ya kuwa baba yupo na anajichana na maisha?
Mkuu hakikisha unanunua ALBENDAZOLE haraka sana na kesho asubuhi kabla hawajala chochote hakikisha unawapa wote wawili watafune. Utakuja kunishukuru baadae.Mkuu nna watoto na naongea kwa ushahidi siropoki tu. Uzuri wana umri huo na ni mapacha
Tuko pamoja mkuu,Nipo upande wenu mkuu....kila mmoja ashinde mechi zake...
Vitafunwa vya asubuhi tu sikuhizi bei ghali...hasa weekend watu wanakula hatari.
Tehteheth.... ila mimi huwa nashangaa saana. Kwani huyo mwanamke alivyokuwa anafurahia hakujua mwanaume kaolewa na mtoto atakuja kuteseka???
Mkuu watu tunatamani tupate hata hao watoto tulee ila hatupatiHabari wakuu mke wangu ana dada yake ambaye kazalishwa mtoto mmoja na Dada yake hayuko katika ndoa, hajaolewa na aliyemzalisha alikuja akaoa mwanamke mwingine
Sasa basi mimi na mke wangu tuna mtoto mdogo wa umri sawa na mtoto wa Dada yake.. mke wangu amekuwa akimchukua mtoto wa Dada yake kila Ijumaa na kumrudisha Jumapili kwa Dada yake
Sasa akiwa anataka kumrudisha mtoto hataki kurudi kwa mama yake anataka kuendelea kuishi nasi wakati huo baba wa mtoto hana muda na mtoto wake kwa mahitaji ya mtoto yaani hamuhudumii.
Mama wa mtoto hataki hata siku moja kumpelekea mtoto kwa baba yake sababu ana mke mwingine atamtesa, Sasa amekuwa akimsukumia kwangu kwa kigezo cha kuja kucheza na mwenzake
Je, ni sawa baba wa mtoto yupo na mama wa mtoto kukataa mtoto kwenda kwa baba kutembea kwa kisingizio Cha mama wa kambo atamtesa hivyo kuona ni sahihi aende kwa mama yake mdogo hali ya kuwa baba yupo na anajichana na maisha?
Nawapaga kila baada ya miezi mi3Mkuu hakikisha unanunua ALBENDAZOLE haraka sana na kesho asubuhi kabla hawajala chochote hakikisha unawapa wote wawili watafune. Utakuja kunishukuru baadae.
Mkuu mkuu, ila ukiwa na uwezo wa kusaidia saidia mkuu huwezi jua huyo uliyemsaidia yy atakusaidia kipnd gani. Yamkini huyo unayemsaidia anaweza kuwa wa maana kuliko hata mwanao wa kumzaaa. Hili nimelishuhudia live kule kwetu💯 saidia ukiwa unao huo uwezo. Can u imagine mtu mtot kwenda tu weekend/holiday jamaa anafura??? Mhhh sishauri😇Subiri ukue mkuu ndio utanielewa,
Ina maana chini ya miaka miwili bado hajakidhi vigezo vya kuwa Malaika?
Acha uchoko kijana mtoto mdogo anaelewa nn mwanangu anacheza na jirani wa kike toka akiwa na miaka mi2. Hadi Leo 6 unasema anaiga tabia za kike mfundishe mwanao na awe anajichanganya na wengine na uyo WA kike wanichanganya na watoto wengine tatizo lako mchoyo mbinafsi alafu hupendi kuona mtu anakula au kutumia kitu chako jinga sana wwMkuu ni kweli ila mtoto anajikuta kazoea michezo ya kike muda wote, mama mtu hawarekebishi.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Duuh!! Samboka umewasupress magirit sinka walio mmnda mleta hoja mpk basi[emoji23][emoji23]
JF sihami!
Aaaah!! Umewashinda!!😂😂😂[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Magreat sinka wanazingua mkuu, yaani wote ni wema eti.
Mkuu mimi nimeasidia sana kuanzia watoto hadi wakubwa lkn sijawahi ona manufaa yake zaidi ya maumivu na kuzalisha chuki kwenye familia,Mkuu mkuu, ila ukiwa na uwezo wa kusaidia saidia mkuu huwezi jua huyo uliyemsaidia yy atakusaidia kipnd gani. Yamkini huyo unayemsaidia anaweza kuwa wa maana kuliko hata mwanao wa kumzaaa. Hili nimelishuhudia live kule kwetu[emoji817] saidia ukiwa unao huo uwezo. Can u imagine mtu mtot kwenda tu weekend/holiday jamaa anafura??? Mhhh sishauri[emoji56]
Kiporo cha wali maharage hicho😂😂😂😂 Extrovert kama ExtrovertHoyu bwana mkubwa kinachomuuma roho ni viporo vyake vya wali marage kuliwa na mtoto wa mama mdogo.
Viatu vyako vinatoshana na vyangu, ila akae na mkewe waongee, wapime umuhimu, waweke makubaliano, mwisho yeye kama baba asimamie maamuziMkuu mimi nimeasidia sana kuanzia watoto hadi wakubwa lkn sijawahi ona manufaa yake zaidi ya maumivu na kuzalisha chuki kwenye familia,
Kwani mtoto si ana wazazi?Acha uchoko kijana mtoto mdogo anaelewa nn mwanangu anacheza na jirani wa kike toka akiwa na miaka mi2. Hadi Leo 6 unasema anaiga tabia za kike mfundishe mwanao na awe anajichanganya na wengine na uyo WA kike wanichanganya na watoto wengine tatizo lako mchoyo mbinafsi alafu hupendi kuona mtu anakula au kutumia kitu chako jinga sana ww