Shukuru Mungu amekuachia huyo mtoto, mlee, mfanye kuwa faraja Yako Yani ukimuona upate Ile feelings damu ya mdogo ako inatembea kwenye mishipa ya huyo mtoto......na hivo ni wa kiume, mlee kama crown prince, aje aendeleze kizazi chenu.yes , wanne sasa! nimeadopt his son
Hapo ni kiongozi wa dini tu ndio atakurudisha kwenye mstari, kama wewe ni Muslim mcheki sheikhPondaWanajamvi, ninaomba msaada wa dhati kabisa.
Mdogo wangu wa pekee alifariki mwaka jana. Tulizaliwa wawili tu, wazazi pia walishafariki. Baada ya wazazi kufariki, nilikuwa mama yake, alikuwa baba yangu.
Fact kuwa familia hii nimebaki peke yangu, kila nikiwaza inanistrike vibaya mno! Sijui kama nimekubali kuwa hayupo tena au la.
Naogopa kukubali kuwa nimebaki peke yangu. Ninajikuta kama mahala fulani sikumlinda. Alifariki ghafla, nikaambiwa ni presha. Toka tumezika, nimeshindwa kurudi makaburini.
Ninajihisi upweke mkuu, tulikuwa tukishirikiana kufanya mambo mengi pamoja. Hakika sijui namna sahihi ya kudeal na hii trauma.
Mwenye mbinu na aliyepita same situation anisaidie!
Nina sali, ninamwombea, sijioni kuwa sawa.
Ahsante sana.Shukuru Mungu amekuachia huyo mtoto, mlee, mfanye kuwa faraja Yako Yani ukimuona upate Ile feelings damu ya mdogo ako inatembea kwenye mishipa ya huyo mtoto......na hivo ni wa kiume, mlee kama crown prince, aje aendeleze kizazi chenu.
Mola akujaze subira.
Nina sali, ninamwombea, sijioni kuwa sawa.
Pole kwa yote! Kuwa shupavu, najua una mengi mazuri ya kumkumbuka mdogo wako na ya kukufanya ujisikie unyonge, ila jaribu kuishi kama vile yupo, japo hutegemei kukutana naye. Kama unamuota, muote na ikupe faraja kuwa kuna njia mbadala unaweza kuwa naye.yes , wanne sasa! nimeadopt his son
ahsante sana!Mchg. Elisha Muliri aliyepoteza mtu wake muhimu wa karibu anazungumza na wewe kukupa ushauri nasaha wa kiroho
Sikia ushuhuda wa mambo makubwa yaliyo mtokea baada ya kufiwa na aliweza vipi kuvuka atika wakati mgumu alio pitia.
Source : Lusungu Benjamini
Acha kuwaza sana Ndugu. Kaz ya Mungu haina makosaWanajamvi, ninaomba msaada wa dhati kabisa.
Mdogo wangu wa pekee alifariki mwaka jana. Tulizaliwa wawili tu, wazazi pia walishafariki. Baada ya wazazi kufariki, nilikuwa mama yake, alikuwa baba yangu.
Fact kuwa familia hii nimebaki peke yangu, kila nikiwaza inanistrike vibaya mno! Sijui kama nimekubali kuwa hayupo tena au la.
Naogopa kukubali kuwa nimebaki peke yangu. Ninajikuta kama mahala fulani sikumlinda. Alifariki ghafla, nikaambiwa ni presha. Toka tumezika, nimeshindwa kurudi makaburini.
Ninajihisi upweke mkuu, tulikuwa tukishirikiana kufanya mambo mengi pamoja. Hakika sijui namna sahihi ya kudeal na hii trauma.
Mwenye mbinu na aliyepita same situation anisaidie!
Nina sali, ninamwombea, sijioni kuwa sawa.
Mungu ataendelea kuimarishaMungu ni Mwema dear!
Angalau now naona naweza maliza one or two days sometimes a week bila kulia, nafkr with time nitakuwa sawa!
THANK YOU kwa kujali kipenzi!
Hii nayo ni faraja tosha!
Ninakushukuru sana!