Binti wa zamani
Platinum Member
- Nov 19, 2011
- 15,052
- 36,866
Ah unapiga squats na planks.Kujihami kabla ya swali: Mazoezi pia nimeanza π
Barnabas hebu washa data bana, niko seriousKanunue kichwa cha mbuzi, kiandae kwa ajili ya chakula, kula na baada ya hapo utaanza kula majani kama mbuzi.
Data zimezima kidogo.
binti, hunitafuti siku hizi, au kwa sababu nakula mboga za majani?Kula wewe
Zinaongeza utamu
Utamu tayari umezidi huwa wanajiliza liza machozi π, nikiongeza watanifia kifuani πΆββοΈKula wewe
Zinaongeza utamu
Njia thabiti ya kupunguza uzito ni kuacha upumbavu ...vyakula mna visingizia tu .Zingatia: Hii ni nyuzi serious, haihitaji utani wala dhihaka. Kama huna ushauri, endelea kuperuzi kwenye majukwaa mengine.
Mwezi uliopita niliandika uzi wa kuomba ushauri na msaada wa kupunguza uzito.
Nimefuata ushauri na kumpata mtaalamu wa lishe, amenitengenezea mpango wa chakula na inabidi nisile vyakula vya wanga, nile protein na mbogamboga kwa wingi.
Changamoto: Hivi vyakula vya majani majani vinanikosesha raha maana nilizoea chapati, wali, ugali, viazi wala vyakula vya ngano. Mnaopenda mboga za majani au ambaye alipitia hii process ya kujilazimisha kuzila, ulifanyaje?
Hiyo hapo chini ni dinner yangu ya leo (nakula hivyo vidude vinne) ila najionea tabu tu. Nisaidieni mawazo na mapishi / recipe nzuri kwa ambao mnafahamu.
View attachment 3274305
Cc:
Mwachiluwi kwa recipe ideas
na
makutupora
realMamy
Nomadix
Mallerina
bonjov
For emotional support π mje mnifariji napitia magumu ππ
Sasa hili tako nikifa kwa pressure, litakusaidia nini? hebu nisaidie nipungue buana.Ah unapiga squats na planks.
Hakikisha tako halipungui mshangazi
HIi nyama ya mdudu hiiZingatia: Hii ni nyuzi serious, haihitaji utani wala dhihaka. Kama huna ushauri, endelea kuperuzi kwenye majukwaa mengine.
Mwezi uliopita niliandika uzi wa kuomba ushauri na msaada wa kupunguza uzito.
Nimefuata ushauri na kumpata mtaalamu wa lishe, amenitengenezea mpango wa chakula na inabidi nisile vyakula vya wanga, nile protein na mbogamboga kwa wingi.
Changamoto: Hivi vyakula vya majani majani vinanikosesha raha maana nilizoea chapati, wali, ugali, viazi wala vyakula vya ngano. Mnaopenda mboga za majani au ambaye alipitia hii process ya kujilazimisha kuzila, ulifanyaje?
Hiyo hapo chini ni dinner yangu ya leo (nakula hivyo vidude vinne) ila najionea tabu tu. Nisaidieni mawazo na mapishi / recipe nzuri kwa ambao mnafahamu.
View attachment 3274305
Cc:
Mwachiluwi kwa recipe ideas
na
makutupora
realMamy
Nomadix
Mallerina
bonjov
For emotional support π mje mnifariji napitia magumu ππ
Umu ukipata stress ni unakua umejitakia mwenyew mbn inawezekana tu chief πZingatia: Hii ni nyuzi serious, haihitaji utani wala dhihaka. Kama huna ushauri, endelea kuperuzi kwenye majukwaa mengine.
Mwezi uliopita niliandika uzi wa kuomba ushauri na msaada wa kupunguza uzito.
Nimefuata ushauri na kumpata mtaalamu wa lishe, amenitengenezea mpango wa chakula na inabidi nisile vyakula vya wanga, nile protein na mbogamboga kwa wingi.
Changamoto: Hivi vyakula vya majani majani vinanikosesha raha maana nilizoea chapati, wali, ugali, viazi wala vyakula vya ngano. Mnaopenda mboga za majani au ambaye alipitia hii process ya kujilazimisha kuzila, ulifanyaje?
Hiyo hapo chini ni dinner yangu ya leo (nakula hivyo vidude vinne) ila najionea tabu tu. Nisaidieni mawazo na mapishi / recipe nzuri kwa ambao mnafahamu.
View attachment 3274305
Cc:
Mwachiluwi kwa recipe ideas
na
makutupora
realMamy
Nomadix
Mallerina
bonjov
For emotional support π mje mnifariji napitia magumu ππ
Hela ya mboga sijaishiwa, ila sasa haya majani nayapendaje mkuu?Ukiishiwa hela ya mboga, ata nyasi utaona tamu
Nyama za damu nyekundu kama unaitaji kupungua huitaji kula kabisa unatakiwa ubadirishe mfumo wa Maisha ulio nao sio unakula mdudu Kisha unatuomba ushauriππHela ya mboga sijaishiwa, ila sasa haya majani nayapendaje mkuu?
Ngojea ushauri wa daktari, uanze kuzigombania hizo mbogaHela ya mboga sijaishiwa, ila sasa haya majani nayapendaje mkuu?
Hapana ni nyama ya ndama wa punda, maarufu sana kwetu babati πΆββοΈHIi nyama ya mdudu hii