Binti wa zamani
Platinum Member
- Nov 19, 2011
- 15,052
- 36,866
- Thread starter
- #21
Ni mateso mdogo wangu, ila nimekula vinne. Inabidi nijipimie chakula 😭Hio ni dinner ama unaonja😂
Ni mateso mdogo wangu, ila nimekula vinne. Inabidi nijipimie chakula 😭Hio ni dinner ama unaonja😂
Tumbua 😂binti kiziwi mpikie mshangaz tumbua kama zile za siku ile
Hizo tumbua ni za mboga mboga 😂Tumbua 😂
😂😂😂😂Kwanini unateseka hivi sasaNi mateso mdogo wangu, ila nimekula vinne. Inabidi nijipimie chakula 😭
kwa sababu shemejiyo kakichoka kitambi.😂😂😂😂Kwanini unateseka hivi sasa
We utamuweza mzabzab huyu mbabaifu.Hizo tumbua ni za mboga mboga 😂
Iko wapi hiyo dinner mbona mi sioni chakula apo naona mboga tu? Hilo jani nalo ni sehemu ya chakula au ni urembo tuu? Au ugali upo kwa pembeni?Hiyo hapo chini ni dinner yangu ya leo (nakula hivyo vidude vinne) ila najionea tabu tu. Nisaidieni mawazo na mapishi / recipe nzuri kwa ambao mnafahamu.
View attachment 3274305
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Njoo nikupee huu wangu basikwa sababu shemejiyo kakichoka kitambi.
![]()
Waume zetu ndiyo tumefikia huku jamani?
Haya, kitu gani ungependa bebi wako apunguze maana amejisahau sana.www.jamiiforums.com
Huto tuvitu nimekula tunne ndiyo dinner hiyo. Hilo jani ni chakula na ugali siruhusiwi kula 😭Iko wapi hiyo dinner mbona mi sioni chakula apo naona mboga tu? Hilo jani nalo ni sehemu ya chakula au ni urembo tuu? Au ugali upo kwa pembeni?
Kwahiyo unaamka asubuhi unahangaika kutafuta hela kutwa nzima mwisho wa siku unakula hivyo kweli? 😀🙄Huto tuvitu nimekula tunne ndiyo dinner hiyo. Hilo jani ni chakula na ugali siruhusiwi kula 😭
Nikisema nateseka, namaanisha
Mpwa wangu mie, asante 😍 ngoja niviweke kwenye list nitajaribu!Siri ipo kwenye uungaji kama unaunga kivivu zitakuwa kama dawa hutazila.
Mboga za majani weka nyanya, kitunguu, karanga kama una nazi tia kidogo.
Usiweke mafuta kama itabidi weka kidogo ya alizeti.
Binafsi napenda sukumawiki zile za kenya, chainizi, mgagani, majani ya kunde, mlenda & bamia, sipendi tembele na kisamvu navichukia kiufupi 🙁
Huku kucheka nilikocheka lazima kuna hata kilo moja imepungua 🤣 🤣 🤣 , acha kesho nijipongeze hata na nusu chapati daaaaahhhhh.Kwa ukubwa wa ilo jani lilivo ukifanikiwa kulila na ukianza kuzowea siku ukiamua kwenda sehemu zinazolishwa wanyama itabidi uende na msimamizi wako maana unaweza kupewa majani umlishe mnyama ukajikuta unayafakamia wewe.
Ujuwe nilijua upo zenji kulisha kobe
Alafu sasa mbona jmosi imepita kimya kimya uchoyo umeanza lini weyeTumbua 😂
Hiyo njia ya kula protein ( ketogenic diet) ni njia ya kishamba ( unapunguza uzito haraka ila sio ya uhakika , rapid but not sure)Zingatia: Hii ni nyuzi serious, haihitaji utani wala dhihaka. Kama huna ushauri, endelea kuperuzi kwenye majukwaa mengine.
Mwezi uliopita niliandika uzi wa kuomba ushauri na msaada wa kupunguza uzito.
Nimefuata ushauri na kumpata mtaalamu wa lishe, amenitengenezea mpango wa chakula na inabidi nisile vyakula vya wanga, nile protein na mbogamboga kwa wingi.
Changamoto: Hivi vyakula vya majani majani vinanikosesha raha maana nilizoea chapati, wali, ugali, viazi wala vyakula vya ngano. Mnaopenda mboga za majani au ambaye alipitia hii process ya kujilazimisha kuzila, ulifanyaje?
Hiyo hapo chini ni dinner yangu ya leo (nakula hivyo vidude vinne) ila najionea tabu tu. Nisaidieni mawazo na mapishi / recipe nzuri kwa ambao mnafahamu.
View attachment 3274305
Cc:
Mwachiluwi kwa recipe ideas
na
makutupora
realMamy
Nomadix
Mallerina
bonjov
For emotional support 😌 mje mnifariji napitia magumu 😂😂
Kama utakula majani tu kama wanyama (sorry)
Basi hutafaidi mboga mboga na salad hata siku moja
Uzuri leo bila kuuliza mtu unaweza kutengeneza mwenyewe vyakula vya aina 70 vya vegetarian kwa kupitia mitandao
Unaweza kutengeneza hata supu za aina tofauti kila siku na uka enjoy tu
Hebu angalia milo hiyo simple ya veg tupu View attachment 3274325View attachment 3274326View attachment 3274329