Ongeza madeni ushindwe kuyalipa. Ni tiba nzuri ya uzitoZingatia: Hii ni nyuzi serious, haihitaji utani wala dhihaka. Kama huna ushauri, endelea kuperuzi kwenye majukwaa mengine.
Mwezi uliopita niliandika uzi wa kuomba ushauri na msaada wa kupunguza uzito.
Nimefuata ushauri na kumpata mtaalamu wa lishe, amenitengenezea mpango wa chakula na inabidi nisile vyakula vya wanga, nile protein na mbogamboga kwa wingi.
Changamoto: Hivi vyakula vya majani majani vinanikosesha raha maana nilizoea chapati, wali, ugali, viazi wala vyakula vya ngano. Mnaopenda mboga za majani au ambaye alipitia hii process ya kujilazimisha kuzila, ulifanyaje?
Hiyo hapo chini ni dinner yangu ya leo (nakula hivyo vidude vinne) ila najionea tabu tu. Nisaidieni mawazo na mapishi / recipe nzuri kwa ambao mnafahamu.
View attachment 3274305
Cc:
Mwachiluwi kwa recipe ideas
na
makutupora
realMamy
Nomadix
Mallerina
bonjov
For emotional support 😌 mje mnifariji napitia magumu 😂😂
Ila ukate vizuri kidogo MdC 😀Asante kwa recommendation, huwa naangalia recipe online. Changamoto ni kuenjoy hivi vyakula. I
la nitaongeza kwenye list yangu na kuvijaribu pia hivi ulivyoshare.
View attachment 3274333
WowAsante kwa recommendation, huwa naangalia recipe online. Changamoto ni kuenjoy hivi vyakula. I
la nitaongeza kwenye list yangu na kuvijaribu pia hivi ulivyoshare.
View attachment 3274333
Mavitu yenyewe nakula kama dawa haya, acha yanikabe tu 😆 🤣Ila ukate vizuri kidogo MdC 😀
Zingatia: Hii ni nyuzi serious, haihitaji utani wala dhihaka. Kama huna ushauri, endelea kuperuzi kwenye majukwaa mengine.
Mwezi uliopita niliandika uzi wa kuomba ushauri na msaada wa kupunguza uzito.
Nimefuata ushauri na kumpata mtaalamu wa lishe, amenitengenezea mpango wa chakula na inabidi nisile vyakula vya wanga, nile protein na mbogamboga kwa wingi.
Changamoto: Hivi vyakula vya majani majani vinanikosesha raha maana nilizoea chapati, wali, ugali, viazi wala vyakula vya ngano. Mnaopenda mboga za majani au ambaye alipitia hii process ya kujilazimisha kuzila, ulifanyaje?
Hiyo hapo chini ni dinner yangu ya leo (nakula hivyo vidude vinne) ila najionea tabu tu. Nisaidieni mawazo na mapishi / recipe nzuri kwa ambao mnafahamu.
View attachment 3274305
Cc:
Mwachiluwi kwa recipe ideas
na
makutupora
realMamy
Nomadix
Mallerina
bonjov
For emotional support 😌 mje mnifariji napitia magumu 😂😂
Ni kazi mno 😢Looh ,. Mbona kazi sana
Mimi nataka kukua hamu ya kula mboga za majani, unanisaidiaje ?Hii ni maalumu kwa ajili ya watu wanaotaka kukua kiroho
Ingia kwa magroup ya wasap upate shule za ukuaji kirohoMimi nataka kukua hamu ya kula mboga za majani, unanisaidiaje ?
Daah hunitakii mema wewe!Ongeza madeni ushindwe kuyalipa. Ni tiba nzuri ya uzito
Ukuaji kiroho utanipunguzia huu uzito na kitambi?Ingia kwa magroup ya wasap upate shule za ukuaji kiroho
Hapana kwa umri wangu, siwezi kukauka kiasi kile, ile nipungue kidogo tu hata kilo 10 ziondoke.Unataka kuwa Kama Dk.Janabi ( The Forgotten Allien ).
The Legacy
Mbona reply yako imefutika 🥹