Msaada: Mnaopenda kula mboga za majani, mlifanyaje, mbona mimi nateseka?

Ongeza madeni ushindwe kuyalipa. Ni tiba nzuri ya uzito
 
 
The Legacy
Mbona reply yako imefutika πŸ₯Ή

Ooh
Kuzipenda mboga za majani inategemea na chanzo chake imean zinatoka wapi na unazila na Nini kuzipa radha ya kuvutia

Anza kuzilima mwenyewe kwenye eneo lako,hata kama ni kwenye makopo,chinese zinastawi, unamwagia maji safi na unakua imani sana kuzila unapozipika kwa kupasha joto tu ukichanganya na viungo vingine.

Imagine unauziwa mboga kumbe zimetoka kunyeshewa maji ya mtaroni Au bonde la msimbazi.

Pakiti ya hizi mbegu za ni bei ndogo haizidi elfu 10, na utatumia Mwaka mzima. Unaweza nunua sukuma wiki pia

Hapa chini ni majani ya kunde nimepanda na nina ya Mwagia kwa maji ya bomba so nakula nikiwa na uhakika yametoka wapi

Legacy
 

Attachments

  • IMG_6398.jpeg
    529.4 KB · Views: 20
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…