Binti wa zamani
Platinum Member
- Nov 19, 2011
- 15,052
- 36,866
- Thread starter
-
- #81
😅 😅 Siyo lazima, acha nikusikilize, kwanini kujitesa 🤣Kwani lazima kula hizo mboga?
Tumia hata chai,majani ya chai yanatosha
Mshangazi dot com mazoezi yangu utayaweza kweli,We ni mzinguaji tu, huna mpango wowote.
Ngoja nideal zangu na bae issac77 , labda atanipigisha mazoezi nipungue
Hebu nifundishe tuoneMshangazi dot com mazoezi yangu utayaweza kweli,
Njoo pm kama upo seriously na zoezHebu nifundishe tuone
🤣🤣🤣Eti bhana😅 😅 Siyo lazima, acha nikusikilize, kwanini kujitesa 🤣
Utafiti mwingine huu nyie😂Hio ni dinner ama unaonja😂
Nikipata hako kamwili kako nitaringa kama Wema 🤣 🤣 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Njoo nikupee huu wangu basi
Niko siriaziiiiii jamani 😅Utafiti mwingine huu nyie😂
Asante sana, napenda fermented food (sauerkraut, kimchi na kunywa kombucha)Sindikiza na limao or mango pickle au sauerkraut pia mayai na chumvi
Chachua kdg utaweza
Hahaha 😂Haya niambie, zisiwe sarakasi za secretarybird na issac77 tu!
😂😂😂Haya wataalam washakuonaNiko siriaziiiiii jamani 😅