pascal luoga
JF-Expert Member
- Feb 23, 2019
- 233
- 264
- Thread starter
- #21
Wanawake huwa hawaeleweki il Sijawai sikia kwamba mwanaume haeleweki
Nimekoma ubishi wangu, na hatimae leo nakiri hadharani kwamba uchawi kwenye mapenzi upo!!!
Yaani mtu anatafuta namna ya kuacha girlfriend with evidence pamoja na kuamini anagongwa na washikaji?!
We bhana sikiliza! In short huna ubavu wa kuacha demu, kwahiyo we endelea tu kugongewa manake hata ukijifanya kuacha, in two weeks utaenda kuomba msamaha as if we ndo mkosaji!
Halafu juzi niliuliza hapa jamvini lakini sikupata jibu! Hivi kwanini hapa JF ni wanaume ndo tunaongoza kulia lia habari za mapenzi?!