Msaada: Mpenzi wangu sio mwaminifu ila kila nikimwambia tuachane analia

Muachane ili ugundue nini? Tulia hapo hapo.
 
Yani nyie wote mnaonekana ni watoto....lakini usijali mtakuwa kubwa tuu siku moja maana hata kuomba ushauri wa namna hii inaonesha wazi kuwa bado kuna utoto mwingi kati yenu!

Ukweli ni kwamba kwa kuwa umeanza mapenzi mapema ni lazima upitie hiyo stage na hayo mambo! Ipo siku yatakwisha!
 
Watu tunalilia kupata wanawake wanaotuma sms 10 tu kwa siku wewe unachezea hiyo bahati watu huku tunatumiwa sms kwa fujo kama vile anakudai figo!shabashii!
Kuusu huyo mwanamke kulia pindi unaposema muachane ni kwa vile unatuma sasa zile sms za imethibitishwa umepokea kiasi cha......lazima mtu alie ukitangaza kumpiga chini
 
Mdogo wangu njia nzuri ni moja tu. Save namba yake kwa jina la MALAYA, PAKA, MBWA na majina mabaya ya aina hiyo. Kisha punguza kumtext au kumpigia na hata akikupigia jitahidi kwa uchache kutopokea angalau kwa makusudi hivi. Hapa unatafuta utulivu wa akili na moyo pale ambapo penzi utaliua mazima.
 
Habari wakuu wote ndani ya jukwaa hili la mahusiano na kwingineko pia, naimani wote mu wazima wa afya....

Bila kuchelewa naomba niende moja kwa moja kwenye maada

Iko hivi , nina mpenzi wangu ambaye niko naye kwenye mahusiano mwaka wa 3 sasa. Yeye anaishi kwao mimi pia naishi kwetu ila najikuta kuna vtu vinanifanya nisimwamini hata siku moja na mpaka sasa bado simwamwini mwaka wa tatu sasa.

Shida alizonazo ni kwamba kwa miaka yote hii mitatu mwaka jana mwanzoni nilikuja kugundua kwamba anatoka na marafiki zangu wawili kwa wakati mmoja na alikuwa anafanya siri, baada ya kuchunguza na kufahamu sikumwambia nikakaa kimya kilichokuwa kinanitatiza ni kwamba mbona anaonesha kunisaliti lkn nikimtizama naona ananipenda kwa upendo wa dhati kabisa, ninachomwmbia anafuata, ananiheshimu, yani ana ishara zote zile za mapenzi ya dhati kwangu....

Nikapotezea ila kilichokuwa kinaniumiza ni kwamba ndiyo ana mapenz ya dhat kwangu ila kwann ana mahusiano pia nje? ... Baadae nikaja kumwambia naomba tuachane... Alilia huku anaomba msamaha kwamba hatorudia. Nikaja nikamsamehe (wale rafk zangu aliachana nao sasa sifahamu kwamba aliacha ama aliachwa? Maana rafiki zangu hao pia walisema kwamba hawamwelewi)

BALAA LINAPOANZIA
KUNA Vitu vinanitatiza sana Pia kwake.
  1. Kwa kipindi chote hiki cha mahusiano kinachonitatiza ni kwamba siku zote ambazo tumewai kutoka ama tunazokuwa tuko out, SIMU yake huwa haitoi kwenye pochi hata siku moja yaani unaweza kutana naye sehemu ya appoinment mnakaa mnaongea mpka mnaondoka simu yake haitoi.
  2. Appointment mpaka upange wewe yeye hajawai kuniambia hata siku moja, siku nyngne unapanga ila kwake excuse zinakuwa nyingi.
  3. Huwaga namtumia kifurushi cha sms cha mwezi cha sms 1000 , lkn cha ajabu ukichat naye dk 2 tu anakwmbia yuko BUSY, na kwa siku mnaweza kuta mnachat sms 10 tu kisingizio chake yuko busy na usiku anasema analala mapema sabb ya uchovu. KINACHONIUMIZA ndani ya wiki 2 anasema sms zimeisha zote 1000 wakati huwa hatuchat sana kwa kisingizio cha UBUSY, sasa je hizo sms 1000 zinaishije????

LICHA YA VYOTE HIVYO
SIKU UKIMWAMBIA TUACHANE ANALIA NA KUOMBA MSAADA KWA RAFIKI ZANGU WAMSAIDIE KUOMBA MSAMAA KWANGU

SASA JE!! KUNA MPENZI HAPA!!!!

Naombeni mnisaidie mbinu za kumuacha huyu msichana sabb nikisema kwa sasa kwmba ananisaliti ushahidi sina sabb smu yke sishiki na huwa haitoagi mbele yangu.

MSAADA WAPENDWA NIWEZE KUONDOKANA NA HII LAWAMA...

NAHITAJI KUMUACHA, JE NITUMIE MBINU GANI??????
Jiamin mwanaume,
 
Nimechoka mimi na nimekosa ushauri kwakweli maana ningeandika zaidi ya thread yenyewe
 
Habari wakuu wote ndani ya jukwaa hili la mahusiano na kwingineko pia, naimani wote mu wazima wa afya....

BALAA LINAPOANZIA
KUNA Vitu vinanitatiza sana Pia kwake.

NAHITAJI KUMUACHA, JE NITUMIE MBINU GANI??????
Kwanza ni wazi umri wako bado mdogo na yeye pia huenda bado bado.
Pili haihitaji uwe na certificate ya mahusiano kujua kuwa ana mabwana wa nje
Tatu ukitaka kumuacha mtu siyo mpaka umwambie eti na yeye akubali, ukitaka kumuacha mtu matendo na moyo wako ndiyo jambo la msingi. Funga vioo kula buyu chapa lapa life liende. Ila inaonekana bado unampenda huna ubavu wa kumwacha na unamuogopa ndiyo maana hata uliogopa kumface kumuuliza kwanini anatembea na rafiki zako.
Nne, utasemaje mtu ana mapenzi ya dhati anafanya kila unachomwambia wakati anakucheat, yuko busy hana time na wewe?
Halafu punguza kuchat mkuu tafuta pesa uondoke kwenu ukajitegemee huo muda wa kuchat tafuta chapaa. Unamtumia kifurushi cha buku kumbe kuna mwingine anamwingizia vocha ya buku 10000 kila week. Sasa wategemea atakuwa busy na nani?
 
Habari wakuu wote ndani ya jukwaa hili la mahusiano na kwingineko pia, naimani wote mu wazima wa afya....

Bila kuchelewa naomba niende moja kwa moja kwenye maada

Iko hivi , nina mpenzi wangu ambaye niko naye kwenye mahusiano mwaka wa 3 sasa. Yeye anaishi kwao mimi pia naishi kwetu ila najikuta kuna vtu vinanifanya nisimwamini hata siku moja na mpaka sasa bado simwamwini mwaka wa tatu sasa.

Shida alizonazo ni kwamba kwa miaka yote hii mitatu mwaka jana mwanzoni nilikuja kugundua kwamba anatoka na marafiki zangu wawili kwa wakati mmoja na alikuwa anafanya siri, baada ya kuchunguza na kufahamu sikumwambia nikakaa kimya kilichokuwa kinanitatiza ni kwamba mbona anaonesha kunisaliti lkn nikimtizama naona ananipenda kwa upendo wa dhati kabisa, ninachomwmbia anafuata, ananiheshimu, yani ana ishara zote zile za mapenzi ya dhati kwangu....

Nikapotezea ila kilichokuwa kinaniumiza ni kwamba ndiyo ana mapenz ya dhat kwangu ila kwann ana mahusiano pia nje? ... Baadae nikaja kumwambia naomba tuachane... Alilia huku anaomba msamaha kwamba hatorudia. Nikaja nikamsamehe (wale rafk zangu aliachana nao sasa sifahamu kwamba aliacha ama aliachwa? Maana rafiki zangu hao pia walisema kwamba hawamwelewi)

BALAA LINAPOANZIA
KUNA Vitu vinanitatiza sana Pia kwake.
  1. Kwa kipindi chote hiki cha mahusiano kinachonitatiza ni kwamba siku zote ambazo tumewai kutoka ama tunazokuwa tuko out, SIMU yake huwa haitoi kwenye pochi hata siku moja yaani unaweza kutana naye sehemu ya appoinment mnakaa mnaongea mpka mnaondoka simu yake haitoi.
  2. Appointment mpaka upange wewe yeye hajawai kuniambia hata siku moja, siku nyngne unapanga ila kwake excuse zinakuwa nyingi.
  3. Huwaga namtumia kifurushi cha sms cha mwezi cha sms 1000 , lkn cha ajabu ukichat naye dk 2 tu anakwmbia yuko BUSY, na kwa siku mnaweza kuta mnachat sms 10 tu kisingizio chake yuko busy na usiku anasema analala mapema sabb ya uchovu. KINACHONIUMIZA ndani ya wiki 2 anasema sms zimeisha zote 1000 wakati huwa hatuchat sana kwa kisingizio cha UBUSY, sasa je hizo sms 1000 zinaishije????

LICHA YA VYOTE HIVYO
SIKU UKIMWAMBIA TUACHANE ANALIA NA KUOMBA MSAADA KWA RAFIKI ZANGU WAMSAIDIE KUOMBA MSAMAA KWANGU

SASA JE!! KUNA MPENZI HAPA!!!!

Naombeni mnisaidie mbinu za kumuacha huyu msichana sabb nikisema kwa sasa kwmba ananisaliti ushahidi sina sabb smu yke sishiki na huwa haitoagi mbele yangu.

MSAADA WAPENDWA NIWEZE KUONDOKANA NA HII LAWAMA...

NAHITAJI KUMUACHA, JE NITUMIE MBINU GANI??????
Mcheki mahera wa nec atakupa ushauri mzuri
 
Wewe inaonekana amekuweka kitegauchumi wake ili kunaanayempenda kwa dhati, anakomalizia msg na kumpa mda wake, kiujumla huyo demu kiwembe
 
Pole pascal luoga ila fuata moyo wako maana mapenz kama hayo kushauri ngumu
 
Back
Top Bottom