Msaada: Mpenzi wangu sio mwaminifu ila kila nikimwambia tuachane analia

Wanawake huwa hawaeleweki il Sijawai sikia kwamba mwanaume haeleweki
 
HAELEWEKI
 
Huyu ni mpnz wangu wa 6 na katka wote huyu ndo nilikuwa na malengo naye kuliko wote
 
Kweli kabisa
 
Mkuu hiyo ni pisi kali kama hujui kwanza haupo vizuri kwenye game
Pili unafanya pesa ikusaidie kuchakata
Tatu hawezi kukuacha kwa sababu namba 2 inafanya kazi
Nne kaa mbali kubari machozi yake ya kufake baada ya miezi 2 utaanza kuelewa
Tano hiyo pisi haimalizi siku 3 bila kuomba posho kama nini wewe unaachishwa kazi kwenye mshahara mzuri hutalia
 
Nimekupata mkuu
 
Kuna mambo hayahitaji ushauri
Fukuza
Kunguru hafugiki.
Unashindwa kujiongeza.
 
Hii picha umeidownload wapi?
 
...ishi nae kwa akili,na usi ishi nae kihisia mwsho wa siku atakuelewa.

...I can imagine huyo demu wako alivyo.

1: age Kati 20- 23
2: mfupi kiasi
3: mnene kiasi
4: mpole
5: mweupe
4: ana huruma sana na anapenda Sana kucheka
5: anapenda sana chips soda
6: anauwezo mkubwa wa kupambanua mambo.
7: kama sio singo maza Basi mama yke singo maza au atakuwa na nyota ya usingo maza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…