Msaada: Mpenzi wangu sio mwaminifu ila kila nikimwambia tuachane analia

Muachane ili ugundue nini? Tulia hapo hapo.
 
Yani nyie wote mnaonekana ni watoto....lakini usijali mtakuwa kubwa tuu siku moja maana hata kuomba ushauri wa namna hii inaonesha wazi kuwa bado kuna utoto mwingi kati yenu!


Ukweli ni kwamba kwa kuwa umeanza mapenzi mapema ni lazima upitie hiyo stage na hayo mambo! Ipo siku yatakwisha!
 
Watu tunalilia kupata wanawake wanaotuma sms 10 tu kwa siku wewe unachezea hiyo bahati watu huku tunatumiwa sms kwa fujo kama vile anakudai figo!shabashii!
Kuusu huyo mwanamke kulia pindi unaposema muachane ni kwa vile unatuma sasa zile sms za imethibitishwa umepokea kiasi cha......lazima mtu alie ukitangaza kumpiga chini
 
Mdogo wangu njia nzuri ni moja tu. Save namba yake kwa jina la MALAYA, PAKA, MBWA na majina mabaya ya aina hiyo. Kisha punguza kumtext au kumpigia na hata akikupigia jitahidi kwa uchache kutopokea angalau kwa makusudi hivi. Hapa unatafuta utulivu wa akili na moyo pale ambapo penzi utaliua mazima.
 
Jiamin mwanaume,
 
Nimechoka mimi na nimekosa ushauri kwakweli maana ningeandika zaidi ya thread yenyewe
 
Habari wakuu wote ndani ya jukwaa hili la mahusiano na kwingineko pia, naimani wote mu wazima wa afya....


BALAA LINAPOANZIA
KUNA Vitu vinanitatiza sana Pia kwake.


NAHITAJI KUMUACHA, JE NITUMIE MBINU GANI??????
Kwanza ni wazi umri wako bado mdogo na yeye pia huenda bado bado.
Pili haihitaji uwe na certificate ya mahusiano kujua kuwa ana mabwana wa nje
Tatu ukitaka kumuacha mtu siyo mpaka umwambie eti na yeye akubali, ukitaka kumuacha mtu matendo na moyo wako ndiyo jambo la msingi. Funga vioo kula buyu chapa lapa life liende. Ila inaonekana bado unampenda huna ubavu wa kumwacha na unamuogopa ndiyo maana hata uliogopa kumface kumuuliza kwanini anatembea na rafiki zako.
Nne, utasemaje mtu ana mapenzi ya dhati anafanya kila unachomwambia wakati anakucheat, yuko busy hana time na wewe?
Halafu punguza kuchat mkuu tafuta pesa uondoke kwenu ukajitegemee huo muda wa kuchat tafuta chapaa. Unamtumia kifurushi cha buku kumbe kuna mwingine anamwingizia vocha ya buku 10000 kila week. Sasa wategemea atakuwa busy na nani?
 
Mcheki mahera wa nec atakupa ushauri mzuri
 
Wewe inaonekana amekuweka kitegauchumi wake ili kunaanayempenda kwa dhati, anakomalizia msg na kumpa mda wake, kiujumla huyo demu kiwembe
 
Pole pascal luoga ila fuata moyo wako maana mapenz kama hayo kushauri ngumu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…