Msaada: Mpenzi wangu sio mwaminifu ila kila nikimwambia tuachane analia

Da katika vitu vinanisikitisha ni mwanaume ambaye hajui hatima ya maisha yake Sasa mtu unajua anakusaliti Tena na rafiki zako, halafu unaenda unauliza hao rafiki zako, da mkuu uwezo wako wa kufikiria ni mdogo Sana.

Tatizo la sisi watanzania wengi yaani hata common sense hatuna , da kweli hakuna umasikini mbaya kama umasikini wa kuweza kufikiria

Sasa unataka ushauriwe nini ,umwache au usimwache? Hebu tumia akili utapata jibu you are not tabularasa.
 
kuchat ni upuuz
 
ila leo nimecheka jamani kwa comment za humu mweee 🤣🤣🤣🤣🤣, back to the topic, sasa we mdogo wangu unataka mchat sms ngapi kwa siku? miaka mitatu ya mahusiano bado unataka mchata sms 50 kwa siku? mnakuwa mnaongea nini hicho ambacho hamjakiongea miaka yote? ndo mana mwenzio yanamshinda mana hana cha kuongea hata hizo sms 9 ushukuru anajitahidi. Lakini pia msichana ambae anatembea hadi na rafiki zako, huyo ni wakuomba ushauri wa jinsi ya kumuacha kweli? are u for really 🧐🧐? hayo machozi yake unazani yana maanisha kwamba anakupenda sana? acha ujinga dogo huyo ni bonge la actress akitoka hapo anakucheka ujinga,na ameshaujua udhaifu wako ndo mana anakuendesha hivyo, meeen there is nothing sad like a man in love
 
kama hata mbinu ya kumuacha mwanamke huna, unajua mbinu gani sasa.
 
Kwanza still wote watoto kwaio chkufnya ili usiumie tafta madem kma wa3 wa kuchat nao maan unaonekan shda yko n kuchat ili usiumie kila laheri

Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
 
Kuchagua ni kuamua (decision) mfululizo wa matukio hayo katika mahusiano yenu, hayajatokea bahati mbaya, ila yalikua yanatokea ili ujue kwamba haya si mahusiano ambayo wewe muhusika uliyatarajia.Usipojifunza katika hayo si kosa ila yataendelea kujirudia mpaka pale utakaposema kuamua sasa basi. vinginevyo ustarajie miujiza
 
Hakuna kitu kinaboa kama kuwa na mke mwenye mapenzi ila si muaminifu.
 
Yani Mwanamke anakucheat tena na rafiki zako af bado unamsamehešŸ¤”šŸ¤” Hivi nyie watu wengine mnatokea ukanda gan hapa Tanzania??
 
Mzee baba wewe piga game ya maana jiboreshe unapokwama pafanyie maboresho mpige vzur show mkoleze af utaona akiendelea na umalaya wake mteme chapu uyo sio dem
 
Maelezo yanaonyesha hupendwi lakini mwenyewe unaona unapendwa,sijui tukusaidieje
 
Yaani kumuacha mtu mpaka umuambie !??

We're jamaa unaishi katika karne ipi " kumuambia mtu kuwa tuachane hiyo imekaa kitoto Sana ..now days mnapotezeana tu kila mtu anashika njia yake' ..
 
Braza kaka kama unalia hivi alafu kumbe hujamuoa
Nikuambie mtu anayekupenda hawez kukosa time na wewe zingatia hili maisha yako yote
Nakazia [emoji419]

Mtu anaye kupenda wewe ndiye hugeuka kuwa SAA yake'
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…