Msaada: Mshahara TCAA

Msaada: Mshahara TCAA

Hata Interview bado unawaza Mshahara,vijana wa siku hizi mna matatizo sana
Hata Interview bado unawaza Mshahara,vijana wa siku hizi mna matatizo sana
kwan mtu akiomba kazi anakua anafikiria kupata nini mzee ? c pesa ili aendeshe maisha yake so nilazima kufikiria mshahara , au wewe unawazaga kujitolea
 
mimi nimeuliza kwa wadau wanaofahamu, ww kama unaona hujui c ungepeita tu kuna ulazima wowote kucomment mzee? au ndo unautafuta umaarufu uonekane?
Nenda Ofisi za TCAA pale kawaulize kwa level HIO watakulipa kiasi gani maana wewe haufuati kazi unafuata PESA
 
Back
Top Bottom