Msaada: Mshahara TCAA

Msaada: Mshahara TCAA

Ina shida gani?
Check no. mishahara midogo , kupanda madaraja unapanda kama walimu wa Tamisemi ....Hili sekeseke la kutopnda mshahara muda mrefu walikumbana nalo watu wa check number , ila Taasisi zeny mfumo binafsi wanapanda kila mwaka.
 
ila Taasisi zeny mfumo binafsi wanapanda kila mwaka.
Kila mwaka kwa maana ya increments au vyeo? Kama increments hata wa check namba wanapanda isipikuwa huezi feel ile increment kwa sbb mishahara ya wengi ni below 1M so nyongeza inalokuwa set huwa ni 2,000-25,000 so ni ngumu ku feel hiyo nyongeza ingawa ipo!
 
Kiufupi hamna nyongeza , Taasisi zinazotumia mfumo binafsi wanaenda mpaka 150k baada ya kufanyiwa assessment zao , wengine mpaka 250k ...Huku mshahar ukiwa 3 mil na kuendelea kwa level ya afisa grade I .

Check number mishahara yao ni midogo ukifika mbali utalipwa kama wakuu wa mikoa ...Huwezi kufananisha na TCRA .
 
Kwa hiyo TCRA hawan check No.?
Sio kweli iko hv, vipo taasisi ambazo kwa nature wao wana income zao ambazo zinaweza accommodate salary na vingine so hizo ni kama zimeachiwa zifanye maamuzi yao kuhusu maslahi lkn bado utumishi wanazisimamia kwenye baadhi ya mambo. Mfano issue za miundo, maslahi ya miundo, mishahara etc....

Wapo watumishi ambao hawana check No. Lkn wengi ni maafisa vipenyo, wengine wote wanatakiwa wawe nazo!
 
Taasisi kubwa hizo hazina check no. , wanachopeleka serikalini haswa kule hazina ni ukaguzi wa matumizi ....Check namba ni mfumo wa zamani Taasisi nyingi zimebadilika kwenda check no . kutokana na muongozo mpya haswa kutumia mfumo wa ESS...Taasisi zinazolipana kwa mpato ya ndani hawana check number ila wana mfumo unaonganisha wao na hazina ...Hawa wana posho wanazoomba kama za siku za sikukuu .. Likizo zinaomba hazina ili waaprove .

Ila mshahara wa check no. hauna posho za juu kwa juu , wanalipwa katikati ya mwezi .

Sema hao ukitoa posho za safari ambao hawatumia check no. posho zao zinakatwa kodi maana zinakuja na mshahara siku moja.

Ukiona taasisi kubwa wanatumia check number basi wamebadilisha juzi , watu wana mpaka salary slip zao binafsi zina logo yao.
 
Wat

Wataje basi some of them
 
Nikupe namba ya Mkurugenzi wa Masoko wa TCAA ni rafiki yangu sana anaitwa Yesaya Mwakifulefule umuulize?
 
Back
Top Bottom