Msaada: Mshahara TCAA

Msaada: Mshahara TCAA

aha ila pande inakujaje apo sababu interview inafanyika utumishi kule, au kule kule mambo yanachezewa
Hapa tu ndio nimejua mtoa mada hajapevuka kiakili. Utumishi wanaweza kutangana nafasi ambayo haiko wazi na mkaitwa interview mkasafiri kutoka mikoani na wanajua nafasi haiko wazi kuna mtu au watu washapokea mishahara miezi kazaa. Ila inatangazwa kwa mujibu wa sheria tu. WHO CARES?
 
This is Africa, emu elezea vizuri hapo nilipo BOLD ili uwasaidie Jobless WOTE wanaosugua Bench
 
Mamlaka ya anga kama unayo kweli diploma hyo

Bila posho ya shiling lak 4 hapo utakunja take home 720000

Tusitafutane

Msalimie sana hamza johari DG
 
Hapa tu ndio nimejua mtoa mada hajapevuka kiakili. Utumishi wanaweza kutangana nafasi ambayo haiko wazi na mkaitwa interview mkasafiri kutoka mikoani na wanajua nafasi haiko wazi kuna mtu au watu washapokea mishahara miezi kazaa. Ila inatangazwa kwa mujibu wa sheria tu. WHO
Mamlaka ya anga kama unayo kweli diploma hyo

Bila posho ya shiling lak 4 hapo utakunja take home 720000

Tusitafutane

Msalimie sana hamza johari DG
shukrani kwa ufafanuzi mkuu
 
Hapa tu ndio nimejua mtoa mada hajapevuka kiakili. Utumishi wanaweza kutangana nafasi ambayo haiko wazi na mkaitwa interview mkasafiri kutoka mikoani na wanajua nafasi haiko wazi kuna mtu au watu washapokea mishahara miezi kazaa. Ila inatangazwa kwa mujibu wa sheria tu. WHO CARES?
Sawa wewe umepevuka kiakili endelea
 
Back
Top Bottom