Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Miezi mitatu inaweza kumsababishia matatizo mtoto, Maziwa ya ng'ombe kabla ya umri wa miezi 12 inaweza kumuweka mtoto hatarini mf.-kutokwa na damu ndani ya utumbo . Pia ina protini nyingi na madini ambayo ni ngumu kwa figo za mtoto mchanga kuchuja kwa urahisi na haina kiasi sahihi cha virutubisho kwa mtoto. At least miezi 9 kwa kufosi lakini sio salama risk ni kubwaKiongozi
Inaelekea mama hana maziwa ya kutosha. Jitahidi mama ale vitu vya kumuongezea maziwa.
Kama bajeti haiko vizuri kununua hayo maziwa ya formula, Mwanzishie maziwa ya ngombe (una weka nusu maziwa na nusu maji) mf: unachanganya kikombe kimoja maziwa na kikombe kimoja maji ili yawe mepesi kabisa. Na ikiwezekana upate mtu mwenye ngombe kabisa ili akupe maziwa ya ngombe mmoja (asibadilishe badilishe ngombe) wafugaji wanajua ukimwambia maziwa ya mtoto
Akinywa hayo maziwa yaliyo changanywa na maji akiteremshia na ya mama atakuwa poa kabisa.....
Yaani unataka asinyonye sana ili mama yake aende wapi,kudanga?Habar
Ndugu zangu nina mtoto wa kiume wa miezi 3 ananyonya sana mpaka mama yake anachoka na hashibi, ukimtoa analia.
Na clinic wameshaur mtoto anyonye tu maziwa ya mama hadi afikishe miezi 6
Nini naweza kufanya kumsaidia mtoto na mamake?
Vp kuhusu maziwa ya ngombe au hayafai pia
Yaani nimeona huyu hahitaji ushauri bali makanyo.Bila Shaka huyo mtoto ni wa kiume, huwa wananyonya hao....halafu Baba Kama una wivu vile kila saa kidume kinaning'inia kwenye nyonyo ya nkeo🤣🤣🤣
Habar
Ndugu zangu nina mtoto wa kiume wa miezi 3 ananyonya sana mpaka mama yake anachoka na hashibi, ukimtoa analia.
Na clinic wameshaur mtoto anyonye tu maziwa ya mama hadi afikishe miezi 6
Nini naweza kufanya kumsaidia mtoto na mamake?
Lactogen 24000/= na halimalizi wiki
Afsdhali ya mbuzi ama kondooVp kuhusu maziwa ya ngombe au hayafai pia
Kwa life la kawaida mtu kutoa 70k kila baada ya 2weeks sio mchezo wakuu. Bora hizo lactogen 20+k, au hata sma 45k ila dawa ni mama kula healthy maziwa yatoke. Hizo formula iwe kwa kuongezea kidogo tu.Aptamil 70,000 2weeks
Mama ale vyakula bora apate maziwa mtoto anyonye
Apate pia maji ya madafu, oats na nazi isikose kwenye chakula chake
Awe na matunda au snacks baada ya mlo
Hayafai. Kama mama ana maziwa ya kutosha anyonye maziwa ya mama tu bila kitu kingine. Hata maji hapewiVp kuhusu maziwa ya ngombe au hayafai pia
Tofauti ni nini? Tupe elimuAfsdhali ya mbuzi ama kondoo
Shida akianza kuumwa atatumia zaidi ya hiyo pesa. Atleast amchukulie ya kopo imsaidie usiku. Mchana awe anamnyonyeshaLactogen 24000/= na halimalizi wiki
Kwani huyo ni mtoto wa ng'ombe hadi anyonye maziwa ya ng'ombe?!Vp kuhusu maziwa ya ngombe au hayafai pia
Kiongozi
Inaelekea mama hana maziwa ya kutosha. Jitahidi mama ale vitu vya kumuongezea maziwa.
Kama bajeti haiko vizuri kununua hayo maziwa ya formula, Mwanzishie maziwa ya ngombe (una weka nusu maziwa na nusu maji) mf: unachanganya kikombe kimoja maziwa na kikombe kimoja maji ili yawe mepesi kabisa. Na ikiwezekana upate mtu mwenye ngombe kabisa ili akupe maziwa ya ngombe mmoja (asibadilishe badilishe ngombe) wafugaji wanajua ukimwambia maziwa ya mtoto
Akinywa hayo maziwa yaliyo changanywa na maji akiteremshia na ya mama atakuwa poa kabisa.....
Yapo maziwa lishe maalumu kwaajiri ya watoto ambao aidha mama amefariki au ana matatizo ya kiafya ambayo yatamfanya ashindwe kunyonyesha.Asante. Vp kuhusu maziwa ya kopo nielekeze kidogo
Mmmmmmhmn mbona kama umetaja lactogen wanayopewa watoto above 6months.Lactogen 24000/= na halimalizi wiki
Mtoto atadumaa. Utashangaa mtoto anapoteza ukuaji mzuri.Ushaanza kumwonea wivu! Mpeni uji mwepesi chuja maji yake mara Tatu then pika
Sawa mkuuMtoto atadumaa. Utashangaa mtoto anapoteza ukuaji mzuri.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] vijana na mabinti wa siku hizi ni hopeless kabisa especially eneo la uzazi. Kuna siku namsikia mdogo wangu (mtoto wa kike wa mama yangu mdogo) anaongea na mwenzake kwenye simu anamuomba ushauri huyo mwenzake juu ya mtoto kuwa na kwikwi na kucheua maziwa kama anatapika. Huyo mwenzake kwenye simu anamwambia achukue majani gani sijui amuogeshee mtoto kisha hiyo hali itaisha.Yaani nimeona huyu hahitaji ushauri bali makanyo.
Kwa nini wana zaa kabla ya kupevuka?
Yaani hajui ulaji wa mtoto wa kiume na sisi wanaume kiujumla?
Au kwakuwa yeye anaishia kula chips basi anadhani ndo ulaji wa mwanaume?
Bahati yake siyo kijana wangu,ningempiga makofi mbele ya mke wake.