MSAADA: Mtoto anasumbulia na sikio, linauma na kutoa usaha

Unajua ni mtoto kwaiyo kujua imekuwa ngumu, toka ameanza kulalamika sikio leo ni siku ya pili
Mda wote hujenda spitali kaka ?

Nenda spitali hilo sio tatizo la leo kama anatoa usaha.

Atapona huwenda ni otitis media tu hiyo,nenda spitali kaka kwa maelezo zaidi
 
Okay sawa

Back
Top Bottom