B I N A M U
JF-Expert Member
- Apr 7, 2015
- 1,495
- 2,403
- Thread starter
- #21
Mbaya sana unaeza kuja kushtuka mtoto kashakuwa kiziwi
Sikio sasa hivi ndo ugonjwa wa taifa kwa vitoto vidogo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sikio sasa hivi ndo ugonjwa wa taifa kwa vitoto vidogo
Mpeleke kwenye kituo cha afya...
Tafuta dawa Inaitwa CANDIBIOTIC EAR DROP.
Nenda famasi yoyote...bei 7000Sawa. Inapatikana kwa bei gani
Tafuta dawa Inaitwa CANDIBIOTIC EAR DROP.
Mpeleke hospitalMSAADA: mtoto anasumbulia na sikio. Linauma na kutoa usaha.
Huwezi kumpa dawa bila kujua tatizo. Mwache aende hospitali tuache ujuaji. Hiyo ni taaluma kuna watu wamesomeaTafuta dawa Inaitwa CANDIBIOTIC EAR DROP.
Sikio kutoa usaha sio kwamba lote linakua limejaa usahaa ndugu...School of thought:
Sikio likiwa na usaha hasa huu uliofikia kutoka wenyewe nje, si vyema sana kutumia ear drop/dawa ya kudondoshea. Kwani dawa hiyo huenda kuelea kwenye usaha na kuwa sehemu ya bakteria kuzaliana. Njia ya dawa ya kunywa ndiyo hupendekezwa zaidi.
Hivyo, kwa kuwa hatujui umri, uzito, allergy na hali kamili ya sikio ni vyema kufika kwenye kituo cha afya kwa uangalizi na tiba zaidi.
Wewe hiyo candibiotic unaijua??? Hujui hata kama kuna kitu hicho duniani so wew ndo unaleta ujuaji... Mimi nakijua ninachoongea hapaaHuwezi kumpa dawa bila kujua tatizo. Mwache aende hospitali tuache ujuaji. Hiyo ni taaluma kuna watu wamesomea
Wewe hiyo candibiotic unaijua??? Hujui hata kama kuna kitu hicho duniani so wew ndo unaleta ujuaji... Mimi nakijua ninachoongea hapaa
Wew ndo ulieanza kuleta habari za ujuaji.. Mtu kauliza dawa ya sikio lina shida flani wengi wamepewa hiyo dawa wamepona kumuona Dr 20000.. aandikiwe dawa 10000 sasa mtu anauliza at least apate mwanga ikiwezekana anunue dawa mtoto apewe apone nyie mnaanza kumshambulia aende hospital kama yeye hakujui Hospital. Ubaya hata akiend hukp hospital hakuna kipya atakachopewa zaidi aongezewe antibiotic bhasi.Candibiotic ni: ofloxacin na dexamethasone.
Suala zuri ni ku-review haya mambo siyo kukasirika na kuona kuwa ni ujuaji. Hapa waweza kuongeza maarifa uliyonayo pia.
Kama nimekosea tusameheane.
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]Wabongo bhanaa...!! Hizo famasi mtaani zisingekuwepoHivi huko shule mlikuwa mnasoma nini
Why are committing which craft nin umuhim wa ku take hx ge na laboratory testing
Hapo mwenzetu unatibu nini mnadharirisha sana hii tasnia
Wew ndo ulieanza kuleta habari za ujuaji.. Mtu kauliza dawa ya sikio lina shida flani wengi wamepewa hiyo dawa wamepona kumuona Dr 20000.. aandikiwe dawa 10000 sasa mtu anauliza at least apate mwanga ikiwezekana anunue dawa mtoto apewe apone nyie mnaanza kumshambulia aende hospital kama yeye hakujui Hospital. Ubaya hata akiend hukp hospital hakuna kipya atakachopewa zaidi aongezewe antibiotic bhasi.
Haya bhasi aende huko hospital wakachukue wakafanye culture asubiri majibu ndo apewe dawa...!!Samahani kama nimekukwaza, ila kuna nafasi ya kujifunza zaidi kati yetu. Mawazo juu ya utabibu yanabadilika kila siku na wakati mwingine cheap may become expensive if not well treated/handed.
Haya bhasi aende huko hospital wakachukue wakafanye culture asubiri majibu ndo apewe dawa...!!
Yaah hiyo ndo target so tuko pamoja mkuu...!!Relax man, wala huitaji culture. Pumzika utapitia baadaye haya mambo. Mimi pia naendelea kujifunza toka kwako.
Kumbuka lengo letu kuu ni kumsaidia mgonjwa.