mathsjery
JF-Expert Member
- Sep 26, 2015
- 2,249
- 1,813
MSAADA: mtoto anasumbulia na sikio. Linauma na kutoa usaha.
Acha kupoteza muda hapa ili tatizo serious, kama uko Dar nenda ekenywa specialized hospital otherwise nenda aghakan hospital yoyote karibu nawe acha uzembe kwa mwanao, fanya Fasta usije mpaka ugumu wa maisha ya baadae .
Usikubali tiba za asili nenda hospitali