MSAADA: mtoto anasumbulia na sikio. Linauma na kutoa usaha.
Ndo maana ukienda pharmacy kwa mtu anaejua code of conduct hawezi kukuuzia prescribed medicine without a prescription unaweza kwenda pharmacy kununua pethidine au ketamine[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]Wabongo bhanaa...!! Hizo famasi mtaani zisingekuwepo
Well said mkuuSamahani kama nimekukwaza, ila kuna nafasi ya kujifunza zaidi kati yetu. Mawazo juu ya utabibu yanabadilika kila siku na wakati mwingine cheap may become expensive if not well treated/handled.
polee
binti yangu akiwa na siku 14 tu tangu kuzaliwa niliona usaha ukitoka kwenye sikio moja baada ya muda sikio la pili nalo likaanza.Nilimpeleka hosp akalazwa na kupata dozi heavy ya sindano 11 kwenye mishipa.
Alipona kabisa mpaka sasa yuko vizuri ana umri wa 7 sijawahi msikia akisema sikio linauma.
Dr alisema ni vyema niliwahi kuona hilo tatizo huenda ningechelewa mtoto angepata uziwi.
Sio kila Case unahitaji physical examination ya mgonjwaaa... Huyu nilimwambie Candibiotic watu wakaanza kusema sio sawa tunapiga ramli ila kaenda kapewa hiyo hiyo so most of cases hata Dr anaweza kuprescribe dawa bila vipimo sema tu Protocol lazima zifuatwe ili kuepusha sintofahamu hapo baadae na mis diagnosis otherwise life is so simple kucomplicate kila kitu thats why kina Community Famasi na kuna Hospital maana kuna case hata huko famasi unaambiwa lazima uende hospital ukacheck pia.Ndo maana ukienda pharmacy kwa mtu anaejua code of conduct hawezi kukuuzia prescribed medicine without a prescription unaweza kwenda pharmacy kununua pethidine au ketamine
To declare the interest mm sio daktari and i know nothing in medicine but at least kwa haka kaelim kadogo najua utabibu ni kada sensitive msiidhararishe kwa kutibu watu kwa kupiga ramli huwa nachukia sana nikiona hata hospital dactar anamtibu mgonjwa bila kumgusa huwa sielewagi how can diagnose without exermining a patient
Ningekuwa dackari mm bas tu
Ok ndugu hakikisha unamaliza dose pole sana.MREJESHO: nilimpeleka hospital akapewa CANDIBIOTIC EAR DROP ametumia siku ya pili sikio halitoi tena usahaa na halimumi tena asanteni sana kwa michango yenu
Ok ndugu hakikisha unamaliza dose pole sana.
Wewe weka siku 2 uone usaha hamnauachee[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] Utajua ujui..dose lazima ishe kimasihara [emoji2]